wakwatito
Member
- Apr 15, 2018
- 30
- 49
1. Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2. Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3. Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4. Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5. Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7. Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8. Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Nimepunguza sauti kwa sababu nimewagusa wanaume wenzangu Mimi kazi yng Ni kuandika tu unipende usinipende ukweli nimeusema povu ruksa.
NB:Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
______________________________________