Wanaume tuoe wanawake mpaka saba. Tutabarikiwa

Wanaume tuoe wanawake mpaka saba. Tutabarikiwa

Upo sahihi kabisa kweli huko tunapoelekea wanawake watakua wengi sana kuliko wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yep, naona kabisa the basement ya hilo andiko ni hicho ulichokisema. Nadhani sasa wanawake mjiandae kisaikolojia. Mtupe 'go ahead' kiroho safi.

-Kaveli-
 
Kuna uhusiano gani kati ya jina la mtu na dini ya mtu???Mfano mtu akiitwa maneno atakuwa dini gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Soda yaweza kuwa packaged kwenye chupa ya Wine?

-Kaveli-
 
nipe maana ya isaya 4/1 nikuelewe au unapiga kampen wa2 waoe wanawake wengi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Maana ya ISAYA 4/1 si ndiyo hiyo hapo nimeweka. Kwa tafsiri yangu. Wewe unataka maana ipi tena?

au unataka kusikia kuwa hapo mwanamke = kanisa? hahaha

-Kaveli-
 
Soda yaweza kuwa packaged kwenye chumba ya Wine?

-Kaveli-
Jaribu kuelewa kwamba hakuna uhusiano kati ya dini na jina la mtu tena hilo ni jambo dogo sana majina yanatokana na utamaduni wa watu fulani mfano nenda middle east waweza kukuta hussein ni mkristu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimewai fundishwa maana ya hili andiko kwa kumbukumbu ni kwamba wanawake wanaozungumziwa apo si wanawake wa jinsia ya kike bari ni makanisa .

kwenye biblia mwanamke ametafsiliwa kama kanisa sasa basi tuludi kwenye mada .

Kuna nakanisa mengi yaabuduyo kwa jina la mungu ilihali hayatendi matendo yampasayo mungu.

ndio maana anasena watatokea wanawake Saba(makanisa) yakisema chakula na mavazi tujiudumie sisi ila tuitwe tu kwa jina lako .

nikwamba watumie jina la mwenyez mungu kuendesha ibada zao ili hali watajitafutie wenyewe mafundisho yao maana yake (chakula)

Sio mjuzi wa biblia ila nakumbuaka some hili nilifundishwa San kuhusu mfananisho wa mwanamke na Kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uongo wa kupuuzwa. Kila mstari mnaoona unapingana na misimamo yenu mnajitahidi kuujengea tafsiri iwapendezayo!!! Hakuna fumbo hapo, huo ni ujumbe wa moja kwa moja. Wanazungumziwa viumbe wa kike na ndicho tunachoanza kuona...Wanaume (waoaji) wameanza kuwa adimu kiasi kwamba siku hizi si ajabu kusikia mwanamke anatafuta mwanaume walau wa kuzaa naye tu ye abaki na mtoto!!! Biblia haikuandikwa kizembe kama ufikiriavyo. Neno liko wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuelewa kwamba hakuna uhusiano kati ya dini na jina la mtu tena hilo ni jambo dogo sana majina yanatokana na utamaduni wa watu fulani mfano nenda middle east waweza kukuta hussein ni mkristu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni mtu wa middle east?

-Kaveli-
 
Tatizo la watu wanao jifanya kujua Sana Kiswahili cha biblia. Eti katika biblia neno mwanamke kina maana ya kanisa, acheni upumbavu huo. Lini katika kamusi gani kanisa na mwanamke likiwa neno moja? Alipo sema mwanamke atazaa kwa uchungu mbona hamsemi ni kanisa? Biblia inaukosefu wa maneno mpaka mwanamke iwe kanisa? Hili liko wazi kuwa tunatakiwa kujibebea mizigo Saba na zaidi kama Solomon. Acheni uongo, ndio maana mikanisa siku hizi kama vijiwe vya machinga kila kina vya uchwara tu.
Umenena mkuu, kunywa chochote nakuja kulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uongo wa kupuuzwa. Kila mstari mnaoona unapingana na misimamo yenu mnajitahidi kuujengea tafsiri iwapendezayo!!! Hakuna fumbo hapo, huo ni ujumbe wa moja kwa moja. Wanazungumziwa viumbe wa kike na ndicho tunachoanza kuona...Wanaume (waoaji) wameanza kuwa adimu kiasi kwamba siku hizi si ajabu kusikia mwanamke anatafuta mwanaume walau wa kuzaa naye tu ye abaki na mtoto!!! Biblia haikuandikwa kizembe kama ufikiriavyo. Neno liko wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
yap yap nakuelewa mkuu

Inashangaza sana watu 'wanailisha maneno' Biblia. Eti wanasema hapo MWANAMKE inamaanisha KANISA. Hahahaa

-Kaveli-
 
Acha kukimbilia kwenye kimvuli cha eti 'nimeanza kashfa'. Don't complicate petty stuffs unreasonably. Spread the knowledge. Kama nawewe hujuwi, basi let's sail on the same boat.

BTW, assume kwamba mie kwa hiyo tafsiri yangu nimekuwa 'Mwanakondoo aliyepotea'... right? Ewe mkristo, maandiko yanakuagizaje kwa 'mwanakondoo aliyepotea' ?

-Kaveli-
Kwann unatumia neno mwanakondoo aliyepotea wakati wewe ni binadamu. Hapo nadhani utapata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu wa Africa jina la Middle East uliza swali lingine nafikiri umeanza kuelewa japo kwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo utamaduni wa Afrika ni sawa na wa middle east? Nielewe nini ilihali hakuna unachoelewesha?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom