Wanaume tuoe wanawake mpaka saba. Tutabarikiwa

Wanaume tuoe wanawake mpaka saba. Tutabarikiwa

Bado hujanijibu hoja yangu... NI KWANINI BIBLE IANDIKWE KWA MAFUMBO KIASI HICHO? lengo kuu ni nini?

Eti MWANAMKE = KANISA ! Ujinga na uongo wa kiwango cha molamu.

-Kaveli-
Kama ungehitaj kuelekezwa ningekuelekeza ila kwakuwa unahitaji kashfa basi hakuna haja ya kukuelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimewai fundishwa maana ya hili andiko kwa kumbukumbu ni kwamba wanawake wanaozungumziwa apo si wanawake wa jinsia ya kike bari ni makanisa .

kwenye biblia mwanamke ametafsiliwa kama kanisa sasa basi tuludi kwenye mada .

Kuna nakanisa mengi yaabuduyo kwa jina la mungu ilihali hayatendi matendo yampasayo mungu.

ndio maana anasena watatokea wanawake Saba(makanisa) yakisema chakula na mavazi tujiudumie sisi ila tuitwe tu kwa jina lako .

nikwamba watumie jina la mwenyez mungu kuendesha ibada zao ili hali watajitafutie wenyewe mafundisho yao maana yake (chakula)

Sio mjuzi wa biblia ila nakumbuaka some hili nilifundishwa San kuhusu mfananisho wa mwanamke na Kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu duh maana Watu tulianza kulegeza kamba tukihofia ilo andiko ngoja NW mkazo uendeleee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu za kiume zenyewe hamna mpaka mchuzi wa pweza hao wake 7 wote unataka uwachezee tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dada Lu, wakinishinda kuwadinya vizuri, hopefully nitasaidiwa tu. KUSAIDIANA is part of life. Ila mimi ninakuwa nimetimiza agizo la andiko 'kuwaondolea aibu'.

Sasa twende kwenye hoja ya msingi.... hilo andiko, nimetafsiri sahihi? ama nimetafsiri kimakengeza? Your views please, kwenye hilo andiko.

Kuna wachangiaji hapa wanasema eti hapo MWANAMKE inamaanisha KANISA. Mmmh hii kwa mie it does not click in my mind.

Upo sahihi kabisa kweli huko tunapoelekea wanawake watakua wengi sana kuliko wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaveli mdogo wangu nilikua nachangamsha genge tu..lol mie ningependa niwe peke yangu..ila nikiletewa mwenzangu wala halitanisumbua...lol.....its good unasoma bible ,keep it up..

Dada angu Rebeca, you are always bright. Wanawake wote wangekuwa kama wewe kuhusu suala la kushea mume, walai wanaume tungepata raha duniani. LOL.

Now the issue remains unaddressed from ur end. Bado hujanisaidia hoja yangu ya msingi, JE hilo andiko nimetafsiri sahihi? ama am out of the track?

Yep, nimeanza kudevelop passion of reading BIBLE.

-Kaveli-
 
Kama ungehitaj kuelekezwa ningekuelekeza ila kwakuwa unahitaji kashfa basi hakuna haja ya kukuelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kukimbilia kwenye kimvuli cha eti 'nimeanza kashfa'. Don't complicate petty stuffs unreasonably. Spread the knowledge. Kama nawewe hujuwi, basi let's sail on the same boat.

BTW, assume kwamba mie kwa hiyo tafsiri yangu nimekuwa 'Mwanakondoo aliyepotea'... right? Ewe mkristo, maandiko yanakuagizaje kwa 'mwanakondoo aliyepotea' ?

-Kaveli-
 
kwel kaveli ilo swal lina utata nmeshindwa kumfafanulia ata mm

Sent using Jamii Forums mobile app

Yep mkuu. Eti hapo mwanamke inamaanisha KANISA. Mmmh! Nimewauliza kuwa sasa ni kwanini Bible iandikwe kwa mafumbo kiasi hicho? Lengo kuu ni nini? Hawana jibu wala jawabu.

-Kaveli-
 
Acha kukimbilia kwenye kimvuli cha eti 'nimeanza kashfa'. Don't complicate petty stuffs unreasonably. Spread the knowledge. Kama nawewe hujuwi, basi let's sail on the same boat.

BTW, assume kwamba mie kwa hiyo tafsiri yangu nimekuwa 'Mwanakondoo aliyepotea'... right? Ewe mkristo, maandiko yanakuagizaje kwa 'mwanakondoo aliyepotea' ?

-Kaveli-
Utaandika hata lugha mia ila kwangu hutajibiwa
 
Asante mkuu duh maana Watu tulianza kulegeza kamba tukihofia ilo andiko ngoja NW mkazo uendeleee....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaa legeza kamba ma'am. Hilo andiko mbona liko wazi kabisa. Hebu lisome tena mara mbili mbili. Legezeni kamba ili tuwaondolee aibu wenzenu.

-Kaveli-
 
Kaveli

Dini ni kitu complex

kila mtu ana tafsiri yake...

naona unajaribu kuona kama utapata neno lina maana gani…?

usitegemee kupata same response kutoka kwa wasomaji wote wa biblia...

ni kitu complex

wewe oa,kama umekubaliana na mke/wake zako lol

so long as your counsciousness yako iko clear..

dini ni upendo ,na kutofanya dhambi...lol

kitabu ni wewe unavyointerprete..lol
 
Back
Top Bottom