Wanaume tuoe wanawake mpaka saba. Tutabarikiwa

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,467
Reaction score
9,007
Hivi Karibuni (nearly two weeks back) nimeanza kuwa 'nasoma soma' Biblia kimtindo ili tu kujifunza maandiko yanaagiza/yanasema nini. Ofkoz I am not knowledgeable na mambo za Maandiko, just to say 'napapasa' tu.

Leo nikawa nimechill geto. Wakati nafungua Biblia (Agano la Kale), mara paap nikakutana na ISAYA, SURA ya NNE ikinena yafuatayo... nanukuu:

''1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako, utuondolee aibu yetu. ''

Baada ya kusoma maandiko hayo, my lazy brain ikapata tafsiri zifuatazo kimwendo-kasi:

1. Mwanaume kuoa wanawake wengi (hata mpaka wake saba) siyo jambo jipya chini ya jua. Biblia ishalinena na kulipa baraka zote. Tufanye utekelezaji;

2. Mwanamke hata kama ana uwezo binasfi wa kujilisha na kujivesha, asipoolewa ni AIBU kubwa kwake katika jamii;

3. Wanaume tuoe wake wengi kadri ya uwezo ili kuwaondolea AIBU hawa wenzetu. Tutabarikiwa.

===> Much respect kwa Serikali ya Kenya kwa kupitisha Sheria (mwaka 2014) ya kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi kadri ya uwezo. Naishauri na Serikali yetu makini ya Tanzania ilitazame hili kwa jicho la mwewe, azawaizi wanawake wengi watapata tabu sana!

===> Salute kwako dada Rebeca 83 kwa siredi yako pendwa: Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja - JamiiForums . You touched the base.

Mara baada ya andiko hilo takatifu, sasa nafikiria kuanza kuongeza fiancee wa pili, na wa tatu ikibidi. Nitaoa mmoja baada ya mwingine respectively. My sincere anticipation Patience123 wangu you won't hesitate to give me a lovely permission in that regard as you're always patient and cool.

N.B: Wakati nasoma Biblia nilikuwa na akili za usiku. As such, endapo nimefanya tafsiri chongo, basi mniweke sawa.

God Bless the Women.

Asalaam Alleykum.

-Kaveli-
 
Lazy brain
Kupapasa
Not knowledgeable

Aisee unafikiri Bible imeandikwa kama lyric ya mziki wa darasa.... Rudia huohuo mstari wa wanawake saba soma vizuri utajua nn kimemaanishwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Nipe maana mkuu. Spread knowledge.

-Kaveli-
 
Nipe maana mkuu. Spread knowledge.

-Kaveli-
nimewai fundishwa maana ya hili andiko kwa kumbukumbu ni kwamba wanawake wanaozungumziwa apo si wanawake wa jinsia ya kike bari ni makanisa .

kwenye biblia mwanamke ametafsiliwa kama kanisa sasa basi tuludi kwenye mada .

Kuna nakanisa mengi yaabuduyo kwa jina la mungu ilihali hayatendi matendo yampasayo mungu.

ndio maana anasena watatokea wanawake Saba(makanisa) yakisema chakula na mavazi tujiudumie sisi ila tuitwe tu kwa jina lako .

nikwamba watumie jina la mwenyez mungu kuendesha ibada zao ili hali watajitafutie wenyewe mafundisho yao maana yake (chakula)

Sio mjuzi wa biblia ila nakumbuaka some hili nilifundishwa San kuhusu mfananisho wa mwanamke na Kanisa

Mmmh! Does not click...

Ni kwanini hayo makanisa yakawa limited kwenye 'SABA' ?

Na ni kwanini Biblia imeandikwa kwa mafumbo that much, lengo ni nini?

-Kaveli-
 
Lazy brain
Kupapasa
Not knowledgeable

Aisee unafikiri Bible imeandikwa kama lyric ya mziki wa darasa.... Rudia huohuo mstari wa wanawake saba soma vizuri utajua nn kimemaanishwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba maana halisi ya hayo maandiko ISAYA NNE msitari wa 1.

Na nikwanini Biblia imeandikwa kwa mafumbo that much, lengo ni nini?

-Kaveli-
 
Hivi Karibuni (nearly two weeks back) nimeanza kuwa 'nasoma soma' Biblia kimtindo ili tu kujifunza maandiko yanaagiza/yanasema nini. Ofkoz I am not knowledgeable na mambo za Maandiko, just to say 'napapasa' tu.

Leo nikawa nimechill geto. Wakati nafungua Biblia (Agano la Kale), mara paap nikakutana na ISAYA, SURA ya NNE ikinena yafuatayo... nanukuu:

''1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako, utuondolee aibu yetu. ''

Baada ya kusoma maandiko hayo, my lazy brain ikapata tafsiri zifuatazo kimwendo-kasi:

1. Mwanaume kuoa wanawake wengi (hata mpaka wake saba) siyo jambo jipya chini ya jua. Biblia ishalinena na kulipa baraka zote. Tufanye utekelezaji;

2. Mwanamke hata kama ana uwezo binasfi wa kujilisha na kujivesha, asipoolewa ni AIBU kubwa kwake katika jamii;

3. Wanaume tuoe wake wengi kadri ya uwezo ili kuwaondolea AIBU hawa wenzetu. Tutabarikiwa.

===> Much respect kwa Serikali ya Kenya kwa kupitisha Sheria (mwaka 2014) ya kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi kadri ya uwezo. Naishauri na Serikali yetu makini ya Tanzania ilitazame hili kwa jicho la mwewe, azawaizi wanawake wengi watapata tabu sana!

===> Salute kwako dada Rebeca 83 kwa siredi yako pendwa: Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja - JamiiForums . You touched the base.

Mara baada ya andiko hilo takatifu, sasa nafikiria kuanza kuongeza fiancee wa pili, na wa tatu ikibidi. Nitaoa mmoja baada ya mwingine respectively. My sincere anticipation Patience123 wangu you won't hesitate to give me a lovely permission in that regard as you're always patient and cool.

N.B: Wakati nasoma Biblia nilikuwa na akili za usiku. As such, endapo nimefanya tafsiri chongo, basi mniweke sawa.

God Bless the Women.

Asalaam Alleykum.

-Kaveli-
Mwendokasi unaua!
 
Shida ni kwamba unatafsiri maandiko ya Bible Kama unasoma gazeti la sani

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo nimeanza kusoma Bible mkuu.

Naomba kujua... ni kwanini Bible imeandikwa kwa mafumbo sana at most, lengo ni nini?

-Kaveli-
 
Tatizo la watu wanao jifanya kujua Sana Kiswahili cha biblia. Eti katika biblia neno mwanamke kina maana ya kanisa, acheni upumbavu huo. Lini katika kamusi gani kanisa na mwanamke likiwa neno moja? Alipo sema mwanamke atazaa kwa uchungu mbona hamsemi ni kanisa? Biblia inaukosefu wa maneno mpaka mwanamke iwe kanisa? Hili liko wazi kuwa tunatakiwa kujibebea mizigo Saba na zaidi kama Solomon. Acheni uongo, ndio maana mikanisa siku hizi kama vijiwe vya machinga kila kina vya uchwara tu.
 
Umenena kweli tupu mkuu.

Mie pia nashindwa kuelewa hawa watu wanaogeuza maneno ya kwenye Bible kwa tafsiri zao uchwara.

Ukiwauliza NI NINI SASA LENGO KUU BIBLIA KUANDIKWA KWA MAFICHO NA MAFUMBO KIASI HICHO? Wanakosa jibu.

Eti mwanamke = kanisa ! Ujinga huu.

-Kaveli-
 
Shida ni kwamba unatafsiri maandiko ya Bible Kama unasoma gazeti la sani

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado hujanijibu hoja yangu... NI KWANINI BIBLE IANDIKWE KWA MAFUMBO KIASI HICHO? lengo kuu ni nini?

Eti MWANAMKE = KANISA ! Ujinga na uongo wa kiwango cha molamu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom