Msaafu au bible ndio iwe mahari. Ili tuweke baraka na msingi wa MUNGU katika mahusiano.Ungependa mahali iwe kiasi gani mkuu?
Trust me...
Mwamba kashamaliza...
Hao watoto mwisho wa siku wakitoboa, mama anawatia sumu na mistari yao ya nani kama mama. Mtoto akija anampa mzee buku ten maza anapewa laki. Sasa hapo kuna faida gani.Ha ha ha yaani mwanaume unatoa vingi ila wewe unapewa vichache. Huo ni unyonyaji
Mwanaume unatoa dushe+mbegu+pesa+ basic needs zote kwa ke ila ke yeye anatoa papuchi tu na kuzaa mtoto wenu wote. Maana hata mtoto anakupa nusu tu na nusu ingine inabaki kwake
Kwani mnaposema "Mwenye akili" mnatumia qualitative na/au quantative zipi ku Describe hiyo akili?Mwanaume mwenye akili timamu na mwenye u Wanaume ndani yake ndio anaruhusiwa kuwa kwenye ndoa.
Umemaliza kila kitu mkuu. Yaani kila kitu [emoji818][emoji818][emoji818] 100%Hao watoto mwisho wa siku wakitoboa, mama anawatia sumu na mistari yao ya nani kama mama. Mtoto akija anampa mzee buku ten maza anapewa laki. Sasa hapo kuna faida gani.
Hao watoto ni back up plan ya mwanamke sio mwanaume. Mwanaume mwanzo mwisho wa maisha yake ni kujisimamia.Wengi uzeeni hutengwa na watoto na wake zao kidesign.
Hii ipo sana. So mwanaume apambane but 80% ya anachopata ajiwekee akiba ya uzee mke asijue hata kitu. Ukizeeka unakuwa busy na ratiba zako wacha watoto walee mama yao wewe unakuwa hauna time wanashangaa mzee anadunda 90+ years yupo fiti na haombi hata mia.
Wenye kusikia na wasikieHao watoto mwisho wa siku wakitoboa, mama anawatia sumu na mistari yao ya nani kama mama. Mtoto akija anampa mzee buku ten maza anapewa laki. Sasa hapo kuna faida gani.
Hao watoto ni back up plan ya mwanamke sio mwanaume. Mwanaume mwanzo mwisho wa maisha yake ni kujisimamia.Wengi uzeeni hutengwa na watoto na wake zao kidesign.
Hii ipo sana. So mwanaume apambane but 80% ya anachopata ajiwekee akiba ya uzee mke asijue hata kitu. Ukizeeka unakuwa busy na ratiba zako wacha watoto walee mama yao wewe unakuwa hauna time wanashangaa mzee anadunda 90+ years yupo fiti na haombi hata mia.
Wewe si ni mwanamke??!!!.Wanaume tumeumbwa matesoo, matesooo kuhangaikaa..!'...!
Mahali ndio chanzo cha yote haya mkuu unataka kusema ndoa ya mahari bible na msaafu haina changamotoMsaafu au bible ndio iwe mahari. Ili tuweke baraka na msingi wa MUNGU katika mahusiano.
Sasa nyie mnataja mahari ya ng'ombe halafu mkienda kuishi kama ng'ombe mnalia.....
Ki ubinadamu Mwanaume unayekataa kuoa kwa visingizio ambavyo havina mshiko unajiona uko sawa kweliKwani mnaposema "Mwenye akili" mnatumia qualitative na/au quantative zipi ku Describe hiyo akili?
#YNWA
Hakika Msema kweli kipenzi cha MunguSio Sawa.....
Umilionea ni kipimo cha akili!? Mwenye highest iq ulimwenguni ni bilionea wa ngapi?Trust me...
Wanaofanya dunia iende na hasa kidigitali Hawana ndoa...
Eicher zimekua mkombozi wa safari za Posta - Tegeta/G.Mboto/Mbagala, sasa yule mkugunduzi wa hii idea ya utengenezaji Eicher akafanya Wana Dar kupunguziwa tatizo la safari HAJAOAAA.
Hivi Kati yako na Dangote aliye ajri maelfu ya watu NANI HANA AKILI?
#YNWA
Kwahiyo hiyo akili ya kuoa ni tofauti sanaa na hii ya kutafuta hela?Umilionea ni kipimo cha akili!? Mwenye highest iq ulimwenguni ni bilionea wa ngapi?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sasa ndio nataka kuujua huo "USAWA"Ki ubinadamu Mwanaume unayekataa kuoa kwa visingizio ambavyo havina mshiko unajiona uko sawa kweli
Modern women wanajua ndoa ni hajira yani ukiolewa ndiyo ushatoboa kimaisha, umaskini bai baiiii.Modern women we need to change...[emoji854][emoji6][emoji854][emoji6]
Kwani mnaposema "Mwenye akili" mnatumia qualitative na/au quantative zipi ku Describe hiyo akili?Umilionea ni kipimo cha akili!? Mwenye highest iq ulimwenguni ni bilionea wa ngapi?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kumbe hata "mwanaume mwenye akili" humjui ndio maana ukaanza kunitajia dangote..Kwani mnaposema "Mwenye akili" mnatumia qualitative na/au quantative zipi ku Describe hiyo akili?
#YNWA
...ajira [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Modern women wanajua ndoa ni hajira yani ukiolewa ndiyo ushatoboa kimaisha, umaskini bai baiiii.