Acha roho mbaya!Ndoa ni muhimu ila iwe na win win. Sio upande mmoja unanyonya upande mwingine
Mtoto wa CEO wa CRDB kimei harusi yake ililetwa humu. Nakumbuka alikuwa anamuoa binti wa mwenye sheli za victoria. Hiyo ni mojawapo ya ndoa yenge win win
Ama ndoa ya beckham na victoria enzi zao. Ndoa ina win win ama beyonce na jay z
Ila ndoa za mmoja hana kitu ila anataka apokee tu kwa mwenye kitu hiyo ni ndoa ya kinyonyaji
Unataka maskini tuwe na nani?Ndoa ni muhimu ila iwe na win win. Sio upande mmoja unanyonya upande mwingine
Mtoto wa CEO wa CRDB kimei harusi yake ililetwa humu. Nakumbuka alikuwa anamuoa binti wa mwenye sheli za victoria. Hiyo ni mojawapo ya ndoa yenge win win
Ama ndoa ya beckham na victoria enzi zao. Ndoa ina win win ama beyonce na jay z
Ila ndoa za mmoja hana kitu ila anataka apokee tu kwa mwenye kitu hiyo ni ndoa ya kinyonyaji
Nadhani huu ndio wakati mwanaume anatakiwa kuoa wake wengi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule tangu kuumbwa kwa Dunia hii.Mbuzi lazima wafungwe kamba ili kuleta utulivu wa kikao[emoji1][emoji1]
Usinidadavue Mimi dadavua mada husika
Uzi unahitaji watu wengi wenye akili Kama hizi .....sio mafeministNdoa ni muhimu ila iwe na win win. Sio upande mmoja unanyonya upande mwingine
Mtoto wa CEO wa CRDB kimei harusi yake ililetwa humu. Nakumbuka alikuwa anamuoa binti wa mwenye sheli za victoria. Hiyo ni mojawapo ya ndoa yenge win win
Ama ndoa ya beckham na victoria enzi zao. Ndoa ina win win ama beyonce na jay z
Ila ndoa za mmoja hana kitu ila anataka apokee tu kwa mwenye kitu hiyo ni ndoa ya kinyonyaji
DarlingWanaume tumeumbwa matesoo, matesooo kuhangaikaa..!'...!
Napenda hichi ulicho andika wanaume wengi wawe nacho.Wanaoumia ktk mahusiano na wanaoteseka na ndoa n wale wanaoyatafuta mapenzi ya ukweli ukweli.
Binafsi nina pisi kali, na n kali kweli, yani kweli kweli na naikubali sana. Kuna wakati inaleta miyeyusho (kama kawaida yao) ili initie stress za kishamba bt response yangu huwa n tofauti sana na kile anachokitegemea...
Akizingua kwa sababu zisizo na kichwa huwa namruhusu afanye maamuz yyte anayoona n sahihi kwake. Atalaumu, atanisema, ataondoka na atarudi mwenyewe. Hii n kwa sabab sijatengeneza mazingira ya "mahaba niue" kwenye mahusiano yetu. Ila nampenda na anajua.
Wanaume tunakufa mapema kwa kuamua tu.
Biashara or kazi zituchanganye, bado urud nyumban uchanganywe.... No where to refresh akili zetu.
Kuna shortage ya wanaume worldwide, kama wanaume tukistick na mke mmoja kuna hatari ya wanawake wengi kukosa wenza.Tafadhali tuelezee sababu iliyofanya ufikirie hivo....
Hakika mkuu kustahamili fukuto la ndoa ni kipimo tosha cha utimamu na ukomavu wa akili,
Apo kwenye spea[emoji23],.......Napenda hichi ulicho andika wanaume wengi wawe nacho.
Ila na wewe unazingua kwa kufanywa Kama spea ....akisepa asepe mazima
Ukijua upo ulimwengu gani na hao wakina suleimani waliishi ulimwengu gani utaelewa ninacho sema.....endelea kuishi kwa reference mkuuKuna shortage ya wanaume worldwide, kama wanaume tukistick na mke mmoja kuna hatari ya wanawake wengi kukosa wenza.
Sasa ndio inashangaza hawa wanaume sijui wavulana wa kuwastiri jinsia ya kike wameanzisha kampeni ya kuwaogopa wanawake.
Unaposikia mfalme Suleiman alikuwa na wake 800 na masulia 300 maana yake si kwamba alipenda sana papuchi bali kulikuwa na uhaba wa wanaume na wengi walikufa vitani hivyo ili kuwastiri ilibidi wanaume waowe watu wengi ili wanawake wapate hata muendeleza kizazi.
Sasa kwa hali halisi ya sasa ya vijana kuwaogopa wanawake itabidi wanaume kamili wabebe haya majukumu ya kuwastiri wanawake. Ndoa za wake wengi zinahitajika sasa kama Nguza wa kwenye Mpali Dstv.
Hapo sawa mkuuApo kwenye spea[emoji23],.......
Kuna vile anaondoka, lkn si kuwa kaamua tuachane.... no. Ni vile kususa tu, ili anipe shida za kumtafta na kumwomba arudi maybe. Ninachofanya, n kujua kaenda wapi, bas. Kama n karud hom baada ya kusepa kwangu huwa sina shida coz najua yuko sehem salama na huenda kaenda kupumzisha akili, ila ikitokea ataenda nisipopaelewa (tofauti na hom) itakuwa n mwisho wangu na yy.
So hili la kumpokea akirud hutegemeana na alienda wapi.
Ungependa mahali iwe kiasi gani mkuu?Tunaanzia kuumia kwenye mahali