Wanawake ukishamsaidia kitu anaona kama ndio wajibu wako.Mkuu sisi wengine ni wastaarabu mno jamani, ukipika tunakupa sifa kemkem na hatuthubutu kabisa kukuambia Leo pika....
Kumpangia mume zamu ya kupika ni dhambi isiyovumilika na ni jeuri inayoua vibaya.
Nadhani we ndio mume, yeye ni mkeMhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.
Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.
Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.
Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa
Hili ndio swali nilimuuliza mpenzi wangu? Alitaka nipike etiWanawake wa siku hizi wavivu kweli Pumbavu!!! Wewe baba ako anapika nyumbani kwenu
Hakuna kazi nayoichukia kama kuosha vyombo, nipo radhi nikalipe chakula mgahawani nileMi napikaga ila kuosha vyombo no
Gahahah hapo pagumuUbembelezwe kisha na wewe ukabembeleze mwanamme wa mtu huko nje? Toka zako hapa, sina muda huo.
Anakupangia zamu kabisaWanawake ukishamsaidia kitu anaona kama ndio wajibu wako.
Mtajifanya kutusifia ili tuwe tunapika mara kwa mara.
Na mnavyopenda kusifiwa, hamkawii kumwambia mume akapike chakula ili wenzako waone kuwa huwa unapikiwa
Endelea kudhaniNadhani we ndio mume, yeye ni mke
You love to be HIS Mrs(wife), rather!! Statement yako imefanya watu wafikirie wewe ndio mumewe jamaa..Mhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.