Watoto wanaokulia mazingira hayo wanapata shida sana university. Ukijua kupika unatunza hela vizuriHizi mambo ni kabila na kabila, Sisi hii kwetu ni strictly prohibited, since childhood mnaaminishwa jikoni ni pa ke only, hata kupita pita jikoni mwanaume marufuku, ndo nini uje ukute mama yako au dada yako kakaa vibaya
Siyo kwamba sijui kupika, kuna mmoja hapo kaliweka vizuri sana, tunafundishwa kupika ili kusurvive mazingira kama hayo ulotaja au kabla sijaoa, nikishaoa tu jikoni hunioni tenaWatoto wanaokulia mazingira hayo wanapata shida sana university. Ukijua kupika unatunza hela vizuri
Very right!!Mimi hua namwambia ukweli jumapili ni siku yetu ya ibada baada ya hapo inabidi uwepo nyumbani, kama ni kutoka basi tutatoka wote.
Mi napikaga ila kuosha vyombo noBaba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.
Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.
Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.
Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa
Mimi haitokaa itokee maishani mwangu eti nioshe vyombo kwani niliyemuoa yuko wapiUjinga huu.
Hata kama najua kupika infact hata mke wangu hilo analitambua lakini siwezi kukaa jikoni kupika eti namsaidia.
Unless tuko wawili na yeye anaumwa.
Hamuachagi kutupangia zamu kwa akili zenu zilivyo.
Nikiwa mdogo nilifundishwa kupika lakini mama alinionya kuwa ananifundisha ili niweze kusurvive na sio kupangiwa kupika na mke yupo.
Nguo nikiamua huwa nafua mpaka chupi zake lakini asinipangie kuwa leo zamu yako kufua.
Kupika!!
Hii nidhambi kwa mwanaume aliyelipa mahari!!
Nina mashaka na wewe hapaHakika napenda sana kumsaidi mama watoto shughuli za nyumbani tena kiroho saafi kabisa.
Kuhusu utaalam wa maakuli hadi mama mkwe anaelewa jinsi nijuavyo kuandaa chakula kitamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ili kwangu halitatokea labda mahausi gelo wasiwepo nchini
Kwa hiyo unalaumu au unayafurahia hayo maishaBasi siku yangu leo ni hivi, asubuhi peleka dogo mishe yake, Rudi home, fua nguo zote, mashuka (Sina washing machine!), Safisha gari (inanisaidia stress, sijui kivipi), nikahamia jikoni, parua samaki na kuandaa chakula Cha usiku... hata sijielewi hapa nilipo Nina uhakika Kuna mechi inarandaranda somewhere maana nimekuta maganda ya karanga .
... inategemea tu mmeo kalelewa vp
Ni wapi palipokupa mashaka mkuu?Nina mashaka na wewe hapa