Wanaume tunapenda kula chakula mlichopika

Mapenzi hayana formula.. Wengine wanapenda wapigwe na waume zao.. Ww acha uvivu, unaingiza ujanja ujanja ili usaidiwe... Pambaf
 
Hayo Mambo inatakiwa kufanya kwenye nyumba mnayoishi peke yenu ila hizi za kupanga uswazi kesho yake tu asubuhi saa nne mtaa mzima watakuita "BUSHOKE" aka MUME BWEGE.
 
Mimi sokoni tu naweza kwenda na kupka cku mojamoja (TANGA NI KAWAIDA)
 
Ila hamtushindi sisi tunavyopenda chakula mnachopika nyie...!!! Aisee kma mimi napenda kweli. Hasa dagaa. Anawapatia kweli huyu mwanamke. Nikigonga na ugali, saaaafi....!!!
 
hamchelewi sema mmetuweka kwenye chupa na kutupachika majina kama mume bwege,bushoke n.k
 
Sio kupika tu,tujitahidini kuwasaidia kudeki,kuosha vyombo,kwenda sokoni na kazi zingine kama hizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…