Wanaume tunaotembea slow kwa kujitanua na kujiamini, ndio tunaopendwa zaidi na wanawake

Nimeamini vilaza wengi humu now days, watu asilimia 90% wana toka nje ya maada Kisa mnyumbuliko wa neno fulani
Hata kama mtu akubaliani na mwendo huo anatakiwa atoe maoni yake juu ya mwendo na si kunyumbulisha neno ilimradi tuu kumkejeli mtoa mada. Yani akili za watu siku hizi zimekaa kingono ngono tuu
 
Najua kuna ambao watabisha, lakini ukweli upo wazi, wanaume wanaotembea mwendo wa wastani na kujiamini njiani ndio huwa tunawavutia zaidi wanawake kuliko ninyi mnaotembea kwa kudunda kama kitenesi, na kasi ya ajabu kama mpo jogging inafika wakati mtu unatiririka jasho tu bila mpangilio Kisa kukimbilia kusikoeleweka.

Mwisho mnafanya dada zetu watutengenezee sredi nyingi humu kuwa wanaume tunatema Kwapa na uvungu.

Wazo la leo;

9aa8266d5604070e3cdbc08f9b72397b.jpg
Watu wa aina hii wanakuwa wana matumbo makubwaa halafu ni vijeba vifupi ambavyo vinakuwa na mapaja maneneee!

Reason ya kutembea slow
(1) Wanakuwa na mapaja manene sana sasa boxer huwa inapanda kuminya p*mb* hivyo kwa vyovyote vile hawezi kwenda harakaharaka. Ndiyo maana wengi wao wakitembea wanajitia midole kwenye P mara kwa mara kushusha boxer
(2) Wanakuwa na miguu mifupi na mizito so hawana mwendo mkubwa. Pia miguu inakuwa imebana P*mb* sasa unaweza vipi kwenda mwendo mkubwa?

Reason ya kujitanua
(1)Mtumbo mkubwa hivyo wanatanua mikono ili kuupa nafasi mtumbo ambao umeenea pande zote kwenye nyonga.
(2) Wanakuwa na mabega manene sana na mgongo karibu na shingo unakuwa umejaa nyama sana hivyo umetanuka automatically

Enyi wadada kama unapenda wanaume kama mimi ambao hatuko hivyo basi gonga like nitakukagua kwenye profile!
 
Najua kuna ambao watabisha, lakini ukweli upo wazi, wanaume wanaotembea mwendo wa wastani na kujiamini njiani ndio huwa tunawavutia zaidi wanawake kuliko ninyi mnaotembea kwa kudunda kama kitenesi, na kasi ya ajabu kama mpo jogging inafika wakati mtu unatiririka jasho tu bila mpangilio Kisa kukimbilia kusikoeleweka.

Mwisho mnafanya dada zetu watutengenezee sredi nyingi humu kuwa wanaume tunatema Kwapa na uvungu.

Wazo la leo;

9aa8266d5604070e3cdbc08f9b72397b.jpg
Mnamtanuliaga nani mkuu
 
Back
Top Bottom