GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,316
- 4,184
Hivi ndugu zangu wanaume tunakwama wapi? Mbona tunafanya mambo ya ajabu sana ambayo baadaye yanatughalimu sana.
- Hivi unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto huku ukijua kabisa wewe kipato chako ni kidogo hivyo huwezi kulea familial kubwa!
- Hivi unawezaje kusomesha mwanamke kwa nategemeo kwamba eti akimaliza chuo mtakuja kufanga ndoa. Kwanini unamwamini mwanamke kiasi hicho? Wenzako wameshalia sana kwa mtindo huo.
- Hivi unawezaje kumruhusu mkeo akafanye kazi kwa kisingizio eti siku hizi maisha ni kusaidiana! Ona sasa mabosi na wafanyakazi wenzake wanavyomfanya mkeo mpaka amejenga dharau sasa kwako.
- Hivi unashindwaje kuunganisha magori zaidi ya mawili kwa wakati mmoja kipindi cha kugegedana! Inamaana tumekuwa goigoi kiasi hiki?
- Hivi unaendaje kutongoza binti wa kifukara ikiwa na wewe mwenyewe ni fukara. Huoni kama unajitengenezea mazingira ya kusalitiwa. Tafuta hela kwanza kijana.
- Hivi unawezaje kuoa mke mzuri sana kiasi kwamba kila mahali akipita watu mate yanawatoka. Kwanini unapenda kujipa shida kiasi hicho. Oa mke wa wastani tu kijana acha sifa za ajabu.
- Hivi unashindwaje kumlidhisha mkeo katika tendo la ndoa kiasi kwamba unamsababishia atafute mchepuko! Pambana kijana.
- Hivi unawaza nini mpaka umtamani msichana wako wa kazi huku ukiwa na mke mzuri! Huu ni ushamba wa kiwango cha lami.
- Hivi unakubaliji kuwa na kibamia! Pambana bwana kwani mwanaume bila kibamia inawezekana.
Wazee hivi tunakwama wapi mbona tunatia aibu sana.