Wanaume tunakufa na tai shingoni

Wanaume tunakufa na tai shingoni

Issue kubwa inatokana na jinsi mlivyoishi,
Mzee unajiweka kauzu, hutaki story na watoto, ghafla unazeeka unataka story nao, hio haiwezekani
Sio kujiweka kauzu ndivyo tilivyo kimaumbile. Mwanaume akiingia 30's kochwa kinakua na mambo mengi hapo usitarajie kama atakua na story nyingi au mbbo ya kichat chat.
 
Sikuja duniani kuteseka mimi au kutesekea wengine.

Huu msemo wa wanaume tuliumbiwa mateso nilisha ukataa.

Watoto na mwanamke nitawajali kwa kiasi chao.

Lakini fungu kubwa, nguvu kubwa na jasho kubwa nimewekeza kwangu kwanza.

Kuwekeza nguvu kubwa kwa mke au watoto bila kujijaji wewe huo nao ni ujinga.

Watoto wakikua wataondoka kwangu nitabaki mwenyewe.

Sasa lazima ni enjoy jasho langu uzeeni kwa amani.

Watoto wataenda huko na wao watakuwa na maisha yao.
Nakazia ujumbe wako mkuu
 
Back
Top Bottom