Wanaume tunachangia 75% ya Mahusiano

Wanaume tunachangia 75% ya Mahusiano

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,932
Reaction score
2,720
Kwa mahusiano yasiyo rasmi(Bf &Gf) wanaume tunachangia sana in unfair way, Imagine lengo lengo ni kumaintain relationship yenu ikue na mpeane raha,pesa ya kununua nguo/simu unampa wewe,vocha unamnunulia hata kama ana hela ya kununua,nauli ya kukufuata unamtumia,unamlisha na maji makubwa anakunywa halafu kazi yake ni kujitegesha mguu mmoja huku mwingine kule na kutulia kama gogo hapo ukimaliza unampa na hela,can't they provide more?🤔
 
Mkuu huu uzi ni mzuri sema umeufupisha mno, ujaujaza nyama za kutosha...
subiri wadau wengineo waje
 
Kama wewe ni mwanaume na unamwonea wivu mwanamke anavyofaidi soon watu watapita na marinda kama upepo
 
Kule edeni kuna mtu aliambiwa atakula kwa jasho lake na wakati mwingine ni kuzaa kwa uchungu. Kupitia njia hizo kila mmoja awajibike vilivyo.
 
Mpe tu brother
Hiyo pesa na matunzo hayo ndiyo pension ya kukunjwa kunjwa kitandani.
Unafikiri ni kazi ndogo?

Mpe ukatafute nyingine tena.
 
Sasa kama mimi ndio natoa hela na anataka hela kutoka kwangu 100%,kwa nini ajikweze na kusema haki sawa?
 
Kwa mahusiano yasiyo rasmi(Bf &Gf) wanaume tunachangia sana in unfair way, Imagine lengo lengo ni kumaintain relationship yenu ikue na mpeane raha,pesa ya kununua nguo/simu unampa wewe,vocha unamnunulia hata kama ana hela ya kununua,nauli ya kukufuata unamtumia,unamlisha na maji makubwa anakunywa halafu kazi yake ni kujitegesha mguu mmoja huku mwingine kule na kutulia kama gogo hapo ukimaliza unampa na hela,can't they provide more?
Mkuu kama huwez si ukae pembeni kwa nini unateseka! Kuna wenzio wanaona raha kuhudumia na kuhonga
 
Tangu lini mfanyakazi anamlipa boss mshahara!! Mwanaume ni boss lazima hiyo 75% imuhusu ,mwanamke ni msaidizi tu .kwahiyo usikimbie majukumu
 
Ukiona wanavyotufanyia wanawake sio fair.. Basi nikushauri tu ndugu yangu ufanye vice-versa ww ujitegeshe na yy akufanyie kila kitu...
Tunapoteza uhalisia wa unaume kabisa Dah.
 
Back
Top Bottom