Wanaume tuna tatizo gani?

Wanaume tuna tatizo gani?

Mkuu hauko serious, unataka mwanamke akufuate private? Anayeanzisha mahusiano ni mwanaume hivyo ulitakiwa utafute alikuvutia umwambie kusudio lako akikuelewa mnasonga mbele asipokuelewa unaendelea kutafuta

My point ni hivi mbona kama wanawake ndo wanademand kubwa zaid kuliko sisi wanaume hasa kwenye dating industry
 
My point ni hivi mbona kama wanawake ndo wanademand kubwa zaid kuliko sisi wanaume hasa kwenye dating industry
Sio wepesi kujitokeza kwenye mitandao humu, ni waoga kidogo kutokana na silika yao, nenda makanisani wanawake wanaohitaji wachumba wasogee mbele hapo utaona kundi kubwa jichagulie anayekufaa endelea naye
 
“Natafuta mwanamke wa kujenga naye maisha, mwenye malengo na anayejua anachotaka. Aliye serious ani-DM.”
Inawezekana kabisa DM yangu ikawa kavu kabisa .

Lakini mwanamke akipost kitu kama:

Mara nyingi utaona comments na DM zikimiminika mpaka unajiuliza, hawa wanaume wote wametoka wapi?
Kwa hiyo hua una test mitambo kwa ID zako, ya kike na ya kiume...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom