Wanaume tuna tatizo gani?

Wanaume tuna tatizo gani?

Mwanamke akiku DM atakuombaje hela sasa?
Ebu fikiria wanawake 20 wakutake halafu wote wakuombe hela za gas, screen ya simu,, Kodi, Bibi mgonjwa NK wewe utafanyaje? Ndo maana hawaji wanataka wewe utongoze wakuombe hela.

😂😂😂 hii ndo kali zaid aiseee
 
Mfano mimi nikija hapa nikapost:

“Natafuta mwanamke wa kujenga naye maisha, mwenye malengo na anayejua anachotaka. Aliye serious ani-DM.”

Inawezekana kabisa DM yangu ikawa kavu kabisa .

Lakini mwanamke akipost kitu kama:

“Natafuta mwanaume wa kujenga naye maisha.”

Mara nyingi utaona comments na DM zikimiminika mpaka unajiuliza, hawa wanaume wote wametoka wapi?

Sasa swali langu ni:

Kwa nini mwanamke mmoja anaweza kupata approaches nyingi sana kutoka kwa wanaume, wakati mwanaume akijitangaza kutafuta mwanamke anaweza asipate response hata moja?

Je, ni kwamba wanaume ndio wengi wanaotafuta, au kuna sababu nyingine kama wanaume kutotambua thamani yao kwenye dating market?

Wanaume na wanawake, hebu tuambiane ukweli bila kuoneana aibu.
Kuwa mwanamke tuu uone si approach bali kutongozwa hadi uchoke
 
Anasema pia kuwa umetuzidi uzuri na wala huringi hapo vipi?View attachment 3683077
Ila binti kiziwi bwana🤣🤣🤣

Nakuomba kwa pm tafadhali, usipo kuja maneno ya mleta mada atakuwa sahihi, kuwa mnaringa na uzuri hamna kabisa yaani mnachoringia haipo kabisa.

Anyways shukuruni sana kwa vile mod aliye kitengo leo wanafuta nyuzi kama njugu
 
Mimi huyu!!!!!

Ni kweli.

Waambie wananidai beer 😀
Usione nawakandia wenzio ni kwasababu unanitesa sana, unakuwa mchoyo wa fadhila pamoja na kukuandikia uzi ila bado your ego stops you from loving me??

Do you think you are that spesho?

ILa yote kwa yote namshukru jamaa aliye watrendisha kwa kweli ametutua mzigo mkubwa sana😂
 
Usione nawakandia wenzio ni kwasababu unanitesa sana, unakuwa mchoyo wa fadhila pamoja na kukuandikia uzi ila bado your ego stops you from loving me??

Do you think you are that spesho?

ILa yote kwa yote namshukru jamaa aliye watrendisha kwa kweli ametutua mzigo mkubwa sana😂
Jamaa gani katutrendisha wakati selfika haina password yeyote anaweza kuingia, pia JF haina restriction ya screenshot so tunajua tukiweka picha wengine wana screenshot wanahifadhi?

Is this even a breaking news, Come on bana!
 
Mkuu hauko serious, unataka mwanamke akufuate private? Anayeanzisha mahusiano ni mwanaume hivyo ulitakiwa utafute alikuvutia umwambie kusudio lako akikuelewa mnasonga mbele asipokuelewa unaendelea kutafuta
 
Back
Top Bottom