Wanaume tuna tabu.

Aaaaagh!!!!
Jamani jamaa anajua kuwajibika du!...........lkn naona baadae mgongo ukawaka moto!
 
Huo ujinga man wa kbongoland hauwez, kwanz kbongo bongo wkt wa mvua maji yanajaa kila mahal. Sas ukifany huo ujing kutok kwa Tandale kwa Tumbo had Manzese kwa Mfuga mbwa c umeshavunjika kiuno.
 
Ni mazoez tu nadhani while having fun....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…