Sure thing !!Yes wanafanya pia, lakin wao huwez mkuta mke kamtengeneza mme wake.
Huku uswailin kukiwepo na tukio la hivyo, ni mtu katengenezwa tayari mda mrefu. Na waliotengenezwa hua hawashauriki kwa lolote kwa majukumu wanayofanya
wewe ni mwanaume acha mambo ya watu usipende umbea umbea hasa kwenye nyumba za watu na zaidi kwny mambo ya mahusiano, maana huwezi jua walivyokubaliana na kama wanashinda zaoSio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona.
Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta anafua nguo za ndani za mkewe, nguo za mkewe watoto, anaosha vyombo na kupiga deki ndani duh! Ukweli kanishangaza na ukimcheki mke wake anaonekana mpole.
na kweli sjui yeye kinamshangaza nini jmn
Asantee📌wewe ni mwanaume acha mambo ya watu usipende umbea umbea hasa kwenye nyumba za watu na zaidi kwny mambo ya mahusiano, maana huwezi jua walivyokubaliana na kama wanashinda zao
Duniani kusaidiana hapa majukumu ..na kweli sjui yeye kinamshangaza nini jmn
Sio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona.
Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta anafua nguo za ndani za mkewe, nguo za mkewe watoto, anaosha vyombo na kupiga deki ndani duh! Ukweli kanishangaza na ukimcheki mke wake anaonekana mpole.
Ni wivu tuu,...
Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.
Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Anatikisa nini sasa?😂
Looh,ntashiba kweliiii😛
HahahhaDah aisee.
Mimi kwa kweli wife ananisifia sana nadeki vizuri,sasa pengine isijekuwa natikisa sehemu unazosema aisee?
Habari ndio hiyooAisee..
Mwanamke hakosi cha kutikisa
Doohh!!Dah aisee.
Mimi kwa kweli wife ananisifia sana nadeki vizuri,sasa pengine isijekuwa natikisa sehemu unazosema aisee?
Una mume kumbe?Ni wivu tuu,...
Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.
Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Habari ndio hiyoo