technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,562
- 57,887
Bila shaka mwanamke ni mwenyeji wa ukanda wa pwani...Kafungiwa kwenye chupa,hafurukuti.
Upendo una mipaka. Hii hali si ya kawaida, kuna kitu kisichoonekana hapo
Ni kweli lakini mbona wazungu mwanaume nae anafanya kazi .Upendo una mipaka. Hii hali si ya kawaida, kuna kitu kisichoonekana hapo
Ni wivu tuu,...
Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.
Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Sio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona.
Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta anafua nguo za ndani za mkewe, nguo za mkewe watoto, anaosha vyombo na kupiga deki ndani duh! Ukweli kanishangaza na ukimcheki mke wake anaonekana mpole.
Ni wivu tuu,...
Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.
Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Dah aisee.Ni wivu tuu,...
Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.
Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Chukua Pepsi big, shushia na comment yako.Ni wivu tuu,...
Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.
Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Yes wanafanya pia, lakin wao huwez mkuta mke kamtengeneza mme wake.