Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,829
- 1,999
Mimi ni Mtanzania ila mchumba wangu na mtoto kwa sasa wapo Sweden"'.
So jana nilikuwa naongea naye online akanistusha kwa kauli yake hii eti huko Ulaya kiumbe wa kwanza kuthaminika ni Mtoto"' nikaona hilo ni sawa sababu hata huku pia ni hivyo"'.
Mtu wa pili kuthaminika akasema ni Mwanamke"' nikaona pia sawa sasa akanishangasha kwa kinachofuata na kusema eti ni Mbwa!!! haaa!! niliumia sana yaani mbwa ni bora kuliko mimi huko kwenye nchi zilizoendelea.
Wanaume tulifikilieni hili ipo siku panya atakuwa bora kuliko sisi.