Tukubaliane kwamba ukimkuta binti wa watu mwaminifu mlokole hana mambo mengi ana future yake ya kuolewa na ana shida zake akakuelezea zitatue kibinadamu usimtongoze wala kutembea nae muache akatafte mtu mwingine aolewe tamaa yako isiharibu ndoto na utu wa mtu. Hata kama ni mzuri funika kombe mwanaharamu apite. Usimchezee binti kama huyu na sisi ni wa baba wa mabinti na tuna dada zetu hawa tuwaheshimu kama ndugu zetu tusitumie changamoto zetu kama chochoro ya kuvua utu wa watu au kuharibu future zao.
Ila ukimkuta bar anakunywa savannah yupo club saa nane usiku anakatika mauno kama mwali wa kimakonde hawa usiwaache vuruga tu ana njaa za ajabu ajabu na tamaa ya kupenda maisha ambayo hana uwezo nayo wewe vuruga usipomvuruga atavurugwa na wengine hata akiwa kwenye ndoa atawapanga wanaume msururu ili kukidhi shida zake, ukimkuta binti hajaolewa anatumia uzuri wake kama source of income usimwache mvuruge na hakikisha kila cent yako unayompa inatumiki kisawa sawa.
Nawasilisha