Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Paploman

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,720
3,237
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.

Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.

Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.

Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.

Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.

Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
 
Why not..?
Wanawake wengine ni visababishi!!
Unakuta kinanyimanyima tu sababu haziishi Mara paa my ex chausiku huko ananitext "Mambo handsome".. 😅

Dunia haipo fair.. wengine hawataiona pepo kwa sababu za watu wengine kabisa!

:D:D:D:D:D
 
Vile ma Ex hu dance kwenye harusi..
IMG_20200609_114938_861.jpeg
 
Siwezi kufuatilia mtu, ila nikijua tu amenisaliti..iwe kwa X, Y, au Z njia zetu zitatengania hapo. Tutalea tu mtoto kwa namna itakayowezekana, ye mwenyewe analijua hilo kwa sababu yeye alikua rafiki tu na alikua anamfahamu aliyekua mpenzi wangu ambaye mimi niliachana nae kwa sababu ya usaliti ndo kisha akaingia yeye
 
Back
Top Bottom