ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,050
- 61,376
Nimepata mke na mahari yake ndogo sana.amesema anataka juzuu nne ni kama 60000 tu mwanamke inapendeza asishinikizwe kutaja hela nyingi.gharama za maisha.
Zisipagawishwe watu kushinda kuoa maisha magumu mafupi na dunia ipo ending ukizubaa zubaa utakufa hujavuta jiko miaka 27 ni umri mzuri kuwa tayari umejipanga na uoe ukae na shemeji msizuge tuoe tuzaane tuendeleze utawala wa mbegu zetu kwa adam yes watu ni utawala wa Mungu karibuni.