ipo vizuri tuWanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu.
wanaume kamili, wanaume suruali, wanaume wa mikoani au wanaume wa Dar?🐒Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa ......mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.....
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu......
Katika mpango huu wa dunia hakuna mwanaume wa kiafrika atakae pona....kina mama wanatuua polepole hatuna haki ya kuishi.....tizama wajane walivyo wengi...wanaume tuko bar si kwa kupenda..nyumbani hakukaliki.wanaume kamili, wanaume suruali, wanaume wa mikoani au wanaume wa Dar?🐒
hao wake zenu wanawaua taratib bila nyie kujuaNdio kufanikiwa kwa mpango wao...mwanaume usipokuwa na familia....uzao wa kiume unapotea...wanaume wanaoa kumbe na wao wameolewa...balaaa
Endelea na kampeni yako yakukataa ndoa muda sio mrefu utaenda kukutana na aliyeziumba jinsia zote mbili na aliye amrisha watu kuoana, andaa majibu sahihiipo vizuri tu
ni ku KATAA NDOA
NDOA NI SUMU KWA MWANAUME
Ukijifanya kukaza sana mkuu utaumia!Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa ......mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.....
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu......
Nani kaamrisha watu koana kama siyo hao wajinga wajinga mnaowasujudia ?amrisha watu kuoana, andaa majibu sahihi
Kwanini lakiniMwanaume ni mbegu ya dunia....dunia ina mpango mkakati wa kumaliza wanaume hasa wa kiafrika.