wanaume tujadili

Kylor

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
836
Reaction score
2,403
kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda kuwa na wanawake wengi lakini wanapo gundua mwanamke wake au demu wake ana mwanaume mwingine wanakuwa tayari kupigana?

je ni mapenzi wivu au unafiki?

au ndio defense mechanism ina niendesha? nataka maoni nifanye maamuzi
 
Tunamind sababu tunagharamia ili utulie kama hautulii basi unapigwa chini
 
Mbona kusaritiwa na demu ni Raha sana maana anakupa nafasi ya kutafuta chuma kingine
Sasa Kwa nini upigane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…