Wanaume tubadilike

Wanaume tubadilike

Kwanini tuingie gharama za bure kuwagaramia wanawake?

Kwanini tufikie hatua ya kupoteza mipango ya maisha kisa mwanamke?

Sasa nasema rasmi tuachane na mambo ya kutafuta au kujihusisha kimapenzi na wanawake kwasababu kama ni UTAMU TUNAO WENYEWE TUNACHOKITAFUTA KWA WANAWAKE NI UTELEZI TU. Sasa tunabadili sehemu ya kupata utelezi kuna sabuni,mafuta na vingne vingi.

Tuone kama watakuwa na jeuri mjini

Hapo bangi imehalalishwa Uruguay na Colorado madhara tunayapata watanzania,sijui ikihalalishwa Bongo itakuaje Mungu wangu.
 
Chezea kum.... Wewe hakuna mjanja hapo sema kujipa moyo tu
 
miss chagga, yawezekana kweli wahitaji pesa eeeh?? manake naona kila ukiwa na keyboard/touch screen wewe ni PESA TU!!..

Hebu jaribu kuangalia kitega uchumi kingine manake nahisi vijana wengi saivi wamedoda, utaishia kubanduliwa kwa ahadi, lols.

Ha ha ha uwezi nila kwa ahadi account isome kwanza ndo nikupe mzigo loh
 
Last edited by a moderator:
Hivii hujui kuwa kuna wanaume wengine wasipoombwa hela hawajisikii vzurii...huwa wanaumwaa...ebu waache wenzio wenye mioyo ya utoajiii we bahil pita hiviiii----
 
Kwanini tuingie gharama za bure kuwagaramia wanawake?

Kwanini tufikie hatua ya kupoteza mipango ya maisha kisa mwanamke?

Sasa nasema rasmi tuachane na mambo ya kutafuta au kujihusisha kimapenzi na wanawake kwasababu kama ni UTAMU TUNAO WENYEWE TUNACHOKITAFUTA KWA WANAWAKE NI UTELEZI TU. Sasa tunabadili sehemu ya kupata utelezi kuna sabuni,mafuta na vingne vingi.

Tuone kama watakuwa na jeuri mjini
ukivuta Bangi huku una njaa madhara yake ndio hayo hapo nadhani...
 
Teh teh teh, ulelaaah!, Wanawake kwenu ni Mtakuja street, tena Mtajileta wenyewe!, eeeh, natamani kuona hiyo ndoa ya Binadamu na sabuni/mafuta, lol, Baba binadamu, Mama Sabuni/mafuta, eeeh
 
Kwanini tuingie gharama za bure kuwagaramia wanawake?

Kwanini tufikie hatua ya kupoteza mipango ya maisha kisa mwanamke?

Sasa nasema rasmi tuachane na mambo ya kutafuta au kujihusisha kimapenzi na wanawake kwasababu kama ni UTAMU TUNAO WENYEWE TUNACHOKITAFUTA KWA WANAWAKE NI UTELEZI TU. Sasa tunabadili sehemu ya kupata utelezi kuna sabuni,mafuta na vingne vingi.

Tuone kama watakuwa na jeuri mjini

si WATAFUGA MBWA
 
Back
Top Bottom