Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Au njaa
hahahaha njaa tenaaa
Au njaa
Mwanangu
baba mzuri .
Maneno mengine funga maskio usiskie, okkey??
pesa kitu gani bwana..... kama kuna mtoto wa kike anayetaka kuhongwa aje tu
baba mimi nilikuwa nimeshaanza kucheza na opportunity nifungue biashara fasta nipate hela .....ila baba nafunga maskio
mimi mimi mimi mimi nataka kuhongwa
Pesa sio tatizo, mie nagonga watoto moto kweli na pesa sina.
100% utakua na minyoo
Mhhh. ..baby sikutaki tena. .
Kuna watu mawazo yao ukidowload lazima upate error
Mhhh bby sikut aki tena. ..
Hizo nyota...sisi wengine bila vijidawadawa vya kuonekana tungebaki kama muanzisha uziPesa sio tatizo, mie nagonga watoto moto kweli na pesa sina.
Hela nakupa mimi mwanangu ila sijui mara Mndengereko mara nani na nani hapana
baba usijali atayeleta mahari mengi ndo mume wangu... baba waache tu tuwangalie
karibu PM
Ila mwanangu yawe ni MAHARI kama ni hivo wacha waje tu
natania...huwa sinaniii kweli... si unajua mi mwenyewe nagonga uchumi..unadhani ntakuwa na poor allocation of resources?
sawa baba watakuja... baba usiseme kwa mama lakini kwanza baba unakumbuka ile siku usiku we na mama ulisema kuwa mahari kubwa kwa mwanao ni upendo ukiwa na maana kijana anipende kwa dhati na ndo kitu kizuri ... ila baba mimi nataka watoe hela nyingi