Wanaume tuanze kuishi kwa mitazamo chanya++

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Wakati mwingine unatakiwa uishi Ukiwa Na Mtazamo Chanya ili Usipate shida na stress zisizo na maana

Mfn: Umemtumia Mpenzi Wako Vocha Ukajua Anaweza Akakupigia Na Hajakupigia
[emoji117]assume Amempigia Mama Yake Na Vocha Ikaisha

Umempigia mpenzi wako Usiku Simu Inatumika
[emoji117]Assume Anaongea Na Aunt Yake

Umemtumia nauli aje gheto lakin hajaja
[emoji117]Assume nauli haikutosha akaamua kughairi

Unampigia cm ghafla akapokea ukasikia miguno ya mahaba
[emoji117]Assume anangalia pornhub

Wakuu hii si imepita??

Ongezea zako••••••••••••••••
 
Hawa ni vijana wa kiume sio wanaume walioko kwenye ndoa
 
Ni kweli unayosema ili kupunguza stress...

Tatizo mioyo ya binadamu wa siku hizi ni mepesi sana...

Cc: mahondaw
 
Umempigia simu usiku wa manane kapokea mwanaume huku unamsikia kwa mbali anauliza 'baby nani huyo usiku huu'
👉👉👉Assume huyo ni braza ake anayeitwa baby
Ila joanah mi.nakupendaga niseme tu ukweli.leo
 
Umempigia simu usiku wa manane kapokea mwanaume huku unamsikia kwa mbali anauliza 'baby nani huyo usiku huu'

👉👉👉Assume huyo ni braza ake anayeitwa baby

Nisaidie kuwaza hapa. Nikipiga simu nikakuta ameniblock inakuaje..
 
Umempigia simu usiku wa manane kapokea mwanaume huku unamsikia kwa mbali anauliza 'baby nani huyo usiku huu'

👉👉👉Assume huyo ni braza ake anayeitwa baby

siwezi kuwa na mawazo chanya kwenye hizo mambo, mambo chanya yapo kwenye kufight maisha...
 
Back
Top Bottom