the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 836
- 1,110
Mkuu ni kweli ina tupasa kuwa na mitazamo chanya mara nyingi ila kiuhalisia tu kwa maisha ya sasa kwa vijana wa kiume na wakike na wana ndoa hiyo mitazamo chanya kila wakati uta kuta mkeo au mpenzi wako amesha olewa kwingine wewe ukijipa hope yuko ana fanya mambo ya maendeleo. Kiufupi uaminifu kwenye mahusiano hivi sasa imekuwa changamoto kubwa mno.