Wanaume tuambie hii ishawahi kukutokea, ilikuwaje na kwanini?

hosh kosh

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
748
572
Habar wadau jf..

Binafsi napenda kutoa haka ka kisa cha kupigwa kelubu(kibao)na mwenza wako a km ni wife or girlfriend ..ilikuwaje,kwa sabab gan na baada ya kupigwa ulifanyaje/ulimfanyaje km ni wife au girlfriend..

Binafsi ilikuwa iv siku moja kulikuwa na shereh ya kampun yetu flan iv ya kuadhimisha miaka kadhaa toka kampun ianze kaz hapa tz. sasa c unajua tena siku ya shereh kila mfanyakaz anakuja na mwenza wake km ni wife au girlfriend tu..mi nilikuwa na girlfriend tu cz nilikuwa bdo cjaoa.

Sasa wakat shereh kuanza na kuendelea ikafika muda wa kuruka debe(kucheza music) ..nashereh ilikuwa usiku sasa ulivofika muda wa kuruka debe. shemej yenu bhn alinikazia kucheza wote na alidai yy ayiuko interested na kuruka debe mbele ya hadhira ya watu sbb anajisikia aibu..na waka huo mm napenda kuruk debe toka utoto madisco yalikuwa hayanikosi..

Sasa kil nikimladhimisha tukacheze hatak, hatak kabsa..mi c nikamuacha nikaingia kati kuruka debe bahat nzur bhn ple kazin kulikuwana wanawake weng na wazur sana..na nilikuwa mi ni mchesh kwao sa baada kuona naruka debe pekee yng walianza kusogea na kuanza kugombania kucheza na mm bhn.

Mtoto wakiume nikaona nishikilie tu ile mizigo ple sasa kosa iilikuja hapa mi wakati na cheza na wale wanawake tofaut tofaut shemeji yenu bhn roho ikawa inamuuma wivu ukamjaa bhn..akaanza kunisumbua bhn kupitia cm akawa ananitext kunizuwia niache kucheza nao sa akatuma text km mara nne iv mi nikampuzia bhn..

Kilichofuata si akanifata ple nilikupokuwa na cheza mzika na kunipiga kelubi (vibao vya usoni) mbil heavy yan nilikuwa nimevaa miwan mpk ikaanguka na kuvunjika kabisa.hahaaaaaaa nilipatwa na hasira bt nikabid nizuie tu hasira zang na nikaomdoka ple ukumbin na kurud zang hom..sikuongea nae siku tatu bt aliniomba msamaha na yakaisha so nau tuko vizur tu..mapenz yanaendlea..

Vipi kwako ushawah pigwa vibao..na mwenza wako ..wife au girlfriend tu na ilikuwaje na kwa sabb gan..tuambie kisa chao..
 
Mi sijawahi kuzabwa kibao na mchuchu ila Kisura wangu keshawahi kunizaba kibao kisa nilikataa kumpa bowl ya crunch berries kabla hajaenda kulala.

Kibao chenyewe wala hakikuuma. Ila alikuwa anatuma ujumbe kuwa 'daddy unachofanya si fair'.

Ilibidi nicheke tu na kuishia kulegeza msimamo.

Nikampa crunch berries zake akala halafu huyo akaenda zake kulala.

Kesho yake akaniomba radhi na kusema hatorudia tena kumpiga daddy.

Basi yakaishia hapo tukarudi kuwa ma BFF tena.
 
Sijawai kupigwa ila ukitaka kuona ulofa wangu nichokoze ww apambane mkeo au yeyote mwanamke atanipiga coz nime jilimit kuwa sita mpiga mwanamke kivyovyote vile
Mother wako aliyekuzaa je? akikupiga kofi vp hapo? Coz nae ni mwanamke pia?
 
habar wadau jf..

binafsi napenda kutoa haka ka kisa cha kupigwa kelubu(kibao)na mwenza wako a km ni wife or girlfriend ..ilikuwaje,kwa sabab gan na baada ya kupigwa ulifanyaje/ulimfanyaje km ni wife au girlfriend..

binafsi ilikuwa iv siku moja kulikuwa na shereh ya kampun yetu flan iv ya kuadhimisha miaka kadhaa toka kampun ianze kaz hapa tz. sasa c unajua tena siku ya shereh kila mfanyakaz anakuja na mwenza wake km ni wife au girlfriend tu..mi nilikuwa na girlfriend tu cz nilikuwa bdo cjaoa.
sasa wakat shereh kuanza na kuendelea ikafika muda wa kuruka debe(kucheza music) ..nashereh ilikuwa usiku sasa ulivofika muda wa kuruka debe. shemej yenu bhn alinikazia kucheza wote na alidai yy ayiuko interested na kuruka debe mbele ya hadhira ya watu sbb anajisikia aibu..na waka huo mm napenda kuruk debe toka utoto madisco yalikuwa hayanikosi..
sasa kil nikimladhimisha tukacheze hatak, hatak kabsa..mi c nikamuacha nikaingia kati kuruka debe bahat nzur bhn ple kazin kulikuwana wanawake weng na wazur sana..na nilikuwa mi ni mchesh kwao sa baada kuona naruka debe pekee yng walianza kusogea na kuanza kugombania kucheza na mm bhn.
mtt wakiume nikaona nishikilie tu ile mizigo ple sasa kosa iilikuja hapa mi wakati na cheza na wale wanawake tofaut tofaut shemeji yenu bhn roho ikawa inamuuma wivu ukamjaa bhn..akaanza kunisumbua bhn kupitia cm akawa ananitext kunizuwia niache kucheza nao sa akatuma text km mara nne iv mi nikampuzia bhn..
kilichofuata si akanifata ple nilikupokuwa na cheza mzika na kunipiga kelubi (vibao vya usoni) mbil heavy yan nilikuwa nimevaa miwan mpk ikaanguka na kuvunjika kabisa.hahaaaaaaa nilipatwa na hasira bt nikabid nizuie tu hasira zang na nikaomdoka ple ukumbin na kurud zang hom..sikuongea nae siku tatu bt aliniomba msamaha na yakaisha so nau tuko vizur tu..mapenz yanaendlea..

vp kwako ushawah pigwa vibao..na mwenza wako ..wife au girlfriend tu na ilikuwaje na kwa sabb gan..tuambie kisa chao..
Acha uchezee mkono tu hamna namna mwanaume gani unawekwa kati na mtoto wa kike, kijana unaonekana nyororo sana.tho sikubaliani na kumpiga mwanamke ila lazima uwe strong hata mwanamke akiwaza kukupiga awaze mara mbili.
 
Nimecheka kweli, japo Nina mastress kibao, binafsi niliwahi kupigwa kelbu baada ya mamito kunikuta na mchuchu mwingine, ila nilichokifanya nilimwambia kuwa huyu ni mke mwenzio coz umeshindwa kutimiza wajibu wako, haiwezekani mi nataka utamu then unasema umechoka eti sababu nataka kila dakika mbaya zaidi nachelewa kushusha mzigo aka wazungu, but for real sijaribu kumpiga mwanamke coz najua ni viumbe dhaifu
 
habar wadau jf..

binafsi napenda kutoa haka ka kisa cha kupigwa kelubu(kibao)na mwenza wako a km ni wife or girlfriend ..ilikuwaje,kwa sabab gan na baada ya kupigwa ulifanyaje/ulimfanyaje km ni wife au girlfriend..

binafsi ilikuwa iv siku moja kulikuwa na shereh ya kampun yetu flan iv ya kuadhimisha miaka kadhaa toka kampun ianze kaz hapa tz. sasa c unajua tena siku ya shereh kila mfanyakaz anakuja na mwenza wake km ni wife au girlfriend tu..mi nilikuwa na girlfriend tu cz nilikuwa bdo cjaoa.
sasa wakat shereh kuanza na kuendelea ikafika muda wa kuruka debe(kucheza music) ..nashereh ilikuwa usiku sasa ulivofika muda wa kuruka debe. shemej yenu bhn alinikazia kucheza wote na alidai yy ayiuko interested na kuruka debe mbele ya hadhira ya watu sbb anajisikia aibu..na waka huo mm napenda kuruk debe toka utoto madisco yalikuwa hayanikosi..
sasa kil nikimladhimisha tukacheze hatak, hatak kabsa..mi c nikamuacha nikaingia kati kuruka debe bahat nzur bhn ple kazin kulikuwana wanawake weng na wazur sana..na nilikuwa mi ni mchesh kwao sa baada kuona naruka debe pekee yng walianza kusogea na kuanza kugombania kucheza na mm bhn.
mtt wakiume nikaona nishikilie tu ile mizigo ple sasa kosa iilikuja hapa mi wakati na cheza na wale wanawake tofaut tofaut shemeji yenu bhn roho ikawa inamuuma wivu ukamjaa bhn..akaanza kunisumbua bhn kupitia cm akawa ananitext kunizuwia niache kucheza nao sa akatuma text km mara nne iv mi nikampuzia bhn..
kilichofuata si akanifata ple nilikupokuwa na cheza mzika na kunipiga kelubi (vibao vya usoni) mbil heavy yan nilikuwa nimevaa miwan mpk ikaanguka na kuvunjika kabisa.hahaaaaaaa nilipatwa na hasira bt nikabid nizuie tu hasira zang na nikaomdoka ple ukumbin na kurud zang hom..sikuongea nae siku tatu bt aliniomba msamaha na yakaisha so nau tuko vizur tu..mapenz yanaendlea..

vp kwako ushawah pigwa vibao..na mwenza wako ..wife au girlfriend tu na ilikuwaje na kwa sabb gan..tuambie kisa chao..

Ilikuwa masihara barabarani nkapigwa kofi la mgongo nlikasrka sana but si kurudisha maana ningevunja mke wangu nimpendae nkamwacha tuuuu.
 
Haijawahi kunitokea, ila Mm nina one rule... mwanamks hata kama nimemkosea.. asije jaribu kunyanyua mkono juu yangu, aisee.. hasira zangu zikiwaka huwa nashusha dozi ya maana.
hahahsa taratibu mkuu ..utakuja kuuwa hawa watu asee
 
Mi sijawahi kuzabwa kibao na mchuchu ila Kisura wangu keshawahi kunizaba kibao kisa nilikataa kumpa bowl ya crunch berries kabla hajaenda kulala.

Kibao chenyewe wala hakikuuma. Ila alikuwa anatuma ujumbe kuwa 'daddy unachofanya si fair'.

Ilibidi nicheke tu na kuishia kulegeza msimamo.

Nikampa crunch berries zake akala halafu huyo akaenda zake kulala.

Kesho yake akaniomba radhi na kusema hatorudia tena kumpiga daddy.

Basi yakaishia hapo tukarudi kuwa ma BFF tena.
mkuu iv vitu hutokea tu bahat mbays na baada ya kutokea lzm aombe radhi..sema wao wanadai tu kuwa ktk hasira lbda tu umemuudhi kitu sana xo hutokea tu mkono kuinua na kukupiga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom