Wanaume Tuambiane Ukweli!

Wanaume Tuambiane Ukweli!

Najua Katika Mambo yetu Yale ya 6 kwa 6 tulishawahi ku kwichikwichi na ma bidada kibao.
Au wengine hawajawahi kabisa....wengine labda mmoja tu...wengne wawili na zaidi.

Kwa Mf Mimi na umri wangu wa 22yrs Tokea Nibalehe mpaka sasa Tayari wapo Kama 20 niliowagegeda.
Japo 2018 Nimeamua Kutulia na Mmoja!

Je wewe tayari umeshavuruga wangapi na unaendelea au unaamua ku pause kama mimi!

MUWE NA SIKUKUU NJEMA

Warning: Every Time You Have Sex Use Condom
UKIMWI UNAUA
Wacha ujinga muulize baba yako kama amesha andaa ada yako maana chuo bado wiki mbili
 
Hahahahaa pilau Rafiki yangu hata sijapata Tualikane
9c076b494c76fd64fc39dddfad93d0ba.jpg


Welcome mkuu.
 
Sasa kwa umri wako utawaza nn zaidi ya papachu? Unalala bure na kula bure.
 
Zamani ukisikia wanaume wanaitwa hivi, unajua kimenuka kuna mmoja kaharibu so wanataka wawekane sawa. Wanawake tunasogea pembeni mafahali tunawaacha wenyewe.

Siku hizi bwana, cheo kimepoteza hadhi yake. Vivulana vinakusanyana kuambukizana maujinga tu kama haya Mara umebikiri wangapi, umetembea na wangapi etc etc. Statistics kibao za nyuma ya keyboard. Ambazo haziwajengi kuwa better men that society is in such dire need of.
 
Nnachokumbuka tu ni kwamba toka nianze aka kamchezo haipitagi wiki sijafumania nyavu haijarishi nko mazingira gan
 
Back
Top Bottom