Wanaume tuacheni 'ubinafsi wa mapenzi'

Wanaume tuacheni 'ubinafsi wa mapenzi'

Mwanamke na mwanaume ni viumbe viwili tofauti.

Wote wakifanya umalaya, sifa mbaya zaidi huenda kwa mwanamke,.

Ndo mana watoto wadogo wenye umri sawa wakiamke asubuhi, anayewahi kuvalishwa chupi ni wa kike kuliko wa kiume.

We jiulize kwanini mtoto wa kike hata kujisaidia mbele tu ya watu ni fedhea, lakini wa kiume sio ishu.

wanawake wanapaswa kutunza tupu zao ndo mana waliwekewa pia bikra.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom