Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Usisahau kwamba mademu wanachezea kichapo cha hatari !!ie mbuzi kagoma kwenda and the like
Uwapigie simu kila siku mara moja kuwajulia haliDah!! Mimi wazazi wangu sijui hata cha kuwapa. Kwa sababu wanajiweza mara mia yangu.
Uwapigie simu kila siku mara moja kuwajulia hali
Mama hunipigia simu kila siku saa kumi na moja jioni. Baba nampigia kila weekend... bila kukosa.
Oooh I can see mother's love to the son...... so sweet basi unadekaa
Kumbe mnajijua kuwa ni mabwege!! Thats goood, Utaona sasa watavyo jichetua humu kuwa hawafanyi hayo, as if wafanyao hayo wanatokea mars, laana zingine mmejitengenezea wenyewe na bado zitawatafuna sn, you may not see it ila inawakula haswaaa, love your mothers maana haitotokea uwe na mama mwingine zaidi yake.
Naona mnaongelea mama tu, na baba vepee?
nimekupa like ya kutuchamba bila soni wala aibu.