NakaziaWanyoe tu
Mtoa mada jibu ili hapa...Alfu moja na mia tano.
Mkuu linux umeleza vyema sana shukran umenitoa tongo tongo bila Shaka wew ni katika wa jumbe wa baraza kuu... Anaye pinga kwenye bonde tutaruka naye kwenye kona tutalala nayeBei Elekezi (Tozo Inclusive) Naweka za nyongeza kwa manufaa ya wengi
Kusuka - 10k hadi 20k
Mama anaumwa - 20k.
Baby nna njaa - 10k
Wengine wataongezea, kama bei zimebadilika napokea updates
Note:: Zote hizo hatutumi kwa simu, anakuja kuzifuata getto au gesti
Wanasuka kijiji auIsizidi laki moja kwa mweI
Si tumekubaliana utusubiri tupange mambo yetu wanaume au umetumicIsizidi laki moja kwa mweI