wanaume tu ndo wasome hapa........

Ni sahihi kabisa mkuu. lakini umewa-exclude wanawake kwani hata wao nao siku hizi wanahitajika kuhudumia familia zao kwa kuwa kuna wanawake ni cashmoney balaa na wanapata pesa za kufa mtu, mishahara minono, so wanapaswa kuhudumia familia zao mkuu. Ni hayo tu nndugu (familia bora na yenye upendo umoja maelewano na mshikamanohujengwa na baba na mama thabiti na umpendeza bwana Mungu wetu))
 
kama baba wa familia kuwahudumia na kutimiza mahitaji ya msingi ya familia yako siyo sadaka ni wajib wako wa msingi kabisaaa, ndio maana mzaz ukigoma kumsomesha mwanao serikali inakuchukulia hatua za kisheria kwa sabab ni wajibu wako kuwapatia elimu watoto wako, hvyo hvyo mtu kazaa halaf hatak kutunza wanae, huko ustaw wa jamii kutakuhusu. Sadaka ni hiyar ya mtu ndio maana huwez kufungwa eti kwa vile hujatoa sadaka bt kuhudumia familia ni jukumu lako kama baba.
tatizo watu wengi wanajua sadaka ni peda tu....hata material things ni sadaka,.,moyo wa huruma na upendo nayo ni sadaka..kwa kuwa huwezi kumfanyia mtu jambo jema mpaka uwe na huo moyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom