James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 604
- 513
Mkuu ni mkeo huyo kaja kukushitaki huku, tulia nyumbani umbebe dogoWanawake wanaupekee fulani katika kulea watoo hasa wachanga namna ya kubembeleza, kujua anasumbuliwa au ana njaa kwaiyo mda mwingi mtoto na mama wote wanakuwa confortable wakiwa pamoja sasa wewe sijui mwanamke wa aina gani unataka baba abebe mtoto au unataka kuchati insta,FB, whatsap mi mwenyewe nina mtoto waivyo sishindi nyumbani kabisaaa na sitaki kabisa kusikia mtoto analia
Valentina njoo nikuoe!Jaribu kujichunguza na upande wako pia. Wanaume hawapendi kelele wala dharau...
Vinginevo pata muda wa kuongea nae kumweleza vile unavotamani awe karibu na familia. Ukiongea nae kwa utulivu naamini atabadilika,hakuna mwanaume kichwa ngumu kwa mwanamke mnyenyekevu....
Mumeo huyu dada, mchane hapahapaDuu Kumbe mpo wengi nilijua Ni Wangu tu Asante kwa kunijuza
Ulivyocheka mpk dudu imesisimka....kichupa kimejaa leoHahahaahhahahaahahahahaha hapo umemalizaaaaa!
Hajui kulea ndiyo maana...
He is not a farther material..
Kichupa tena?? Huna mwanamke???Ulivyocheka mpk dudu imesisimka....kichupa kimejaa leo
Kwani ww mwanaume si ndio maana nmeanza kukwambia shida zangu jamaniKichupa tena?? Huna mwanamke???
Omo kali sana. Pole sana dada utapata akufaayewanaume ni wabinafsi sana ,wana roho mbaya kuloko shetani lea tu mwanao mamy ishi nae tu maisha yaende
Ngoja umalize kulea atatulia mm mwenyewe sipendi kukaa na mtoto.na mama mzazi anakuwa na shombo ya mziwa may be haipendi.Habarini wana mmu,
Mimi Ni mwanamke ambaye nimeolewa na Nina Mtoto mmoja mchanga miezi 3, tatizo nililonalo Ni kwamba mume Wangu huwa hapend kukaa nyumbani yeye akirud kutoka Kazini Ni kupumzika kidogo then anatoka Hadi usiku Sana
Hana muda Hata wa kunisaidia kukaa na Mtoto angalau nami nipumzike kidogo maana anajua jinsi Mtoto anavyosumbua na tunakaa wenyewe tu Mimi na yey mume Wangu, daima yeye anajali company za marafiki tu.
Je hapo tabia hii inaashiria nini? Mapenzi yapo kweli au ndio Sina changu tena?
Mh...kama wanaume wakiwa na roho mbaya kuliko shetani....basi wanawake mtakua na roho mbaya kuliko hata mungu mwenyewe.wanaume ni wabinafsi sana ,wana roho mbaya kuloko shetani lea tu mwanao mamy ishi nae tu maisha yaende
Akitafuta beki 3 utakuta jamaa amepunguza outings... Bora tuu abaki mwenyewe tuuLea mtt mama acha wivu mama...jamaa hataki aanze kukupiga dudu mtt bado mdogo.
Tafuta beki 3 au ndg aje kukupa kampani
kwamba ananizunguka?Mkuu ni mkeo huyo kaja kukushitaki huku, tulia nyumbani umbebe dogo