Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa
Ulichoongea kina point ndani yake, kama mzigo unastahili gharama basi italipwa kama mzigo ni chini ya kiwango huwezi gharamia
kuna kamoja katoto kweli ndo kwanza kanasoma crtfct ucc baby i love u nataka nikuoe tuzae sasa nikamuask tutaishije na wewe ndo hivyo kkk akaaema "daddy atanipa nisimamie biashara zake za magari""
nkacheka sna maana ningekabemenda halafu na allergy na watoto wa kiume wazuri.
ha ha mwisho wa siku kanabomu vocha
Mda wote unawaza kuhongwa na kuuza utu wako pumbavu wee
ha ha ningekakomazaje ningekabemenda mbayaeti best, mbwembwe zote hizo alikua anatafuta kulelewa au???
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa
hauna amu wwkuna kamoja katoto kweli ndo kwanza kanasoma crtfct ucc baby i love u nataka nikuoe tuzae sasa nikamuask tutaishije na wewe ndo hivyo kkk akaaema "daddy atanipa nisimamie biashara zake za magari""
nkacheka sna maana ningekabemenda halafu na allergy na watoto wa kiume wazuri.
ha ha mwisho wa siku kanabomu vocha
Wangu ananigharamia kila kitu kuanzia usafiri, room na maakuli mwanzo mwisho....labda tu niamue kulipa! mwenzetu labda ulifanya adverse selection au anaona huna la maana la kumfanya agharimike, kwa ufupi anaona huna jipya kwake! nina uhakika mwanaume anapoona kuna kitu cha kumpendeza unacho atatoa chochote aone una furaha na kamwe hawezi kukutumia labda awe hana uwezo.
hauna amu ww
kuna kamoja katoto kweli ndo kwanza kanasoma crtfct ucc baby i love u nataka nikuoe tuzae sasa nikamuask tutaishije na wewe ndo hivyo kkk akaaema "daddy atanipa nisimamie biashara zake za magari""
nkacheka sna maana ningekabemenda halafu na allergy na watoto wa kiume wazuri.
ha ha mwisho wa siku kanabomu vocha
umgharamie hata kunyonya mashine hajuiwewe nani amekwambia mapenzi mwanzoni yanakuwa machungu....ngoja akishamaliza kisasambua papuchi baada ya miaka kadha no ring ndio mtajua vidume
wewe nani amekwambia mapenzi mwanzoni yanakuwa machungu....ngoja akishamaliza kisasambua papuchi baada ya miaka kadha no ring ndio mtajua vidume
nyinyi c ndo mna maziwahamu ninayo ila size ya babae vinuka maziwa noo
nina muda mrefu nae mbona, kama mwanaume inherently anatimiza majukumu anatimiza tu, kama marioo ni marioo tu