Lakini hapa sometimes kwa dada zetu ni Security na labda anataka shoga yake na yeye atoe recommendation kuhusu huyo kaka au?Huyo kaka asome alama za nyakati asepe zake, aachane nae, huyo bado hajakomaa kiakili, hafikirii mbele wala hajui anachokitaka.
Yani kama ndo kaka angu anakuita halafu unakuja na shoga ako akija kuniadithia tu, imekula kwako!!!!!
Hapo umeongea ukweli.. mapenzi sio kukomoana ni kusaidiana sasa unapodemand kitu unaweza ukawa unamuaribia bajeti mwenzako...
Na kweli kama dada anakuwa mstaarabu hata huyo kaka angekuwa anasaidia popote inapobidi, wakati umefika tuone kwamba maisha ni kusaidiana kwa mambo yote na mtu anapotoa kitu bila kuombwa its has got more meaning kuliko kumlazimisha, hapo ni kama unamfanya ananunua hilo penzi...
Nakutumia sababu mimi kama rafiki na unahitaji na mimi ninayo nitatuma lakini na mimi kesho nikiomba msaada wowote usininyime, sababu maisha ni kusaidiana kwenye shida, A Friend in Need is A Friend Indeed.... Lakini hapa anachosema Lizzy huyu dada kamfanya huyo kaka ndio kama ka mradi ka yeye kumalizia shida zake (sometimes hata kama hana shida..., basi tu kutumbua jasho la mwenzake)Voice naomba unitumie vocha kuna mtu nataka niongee naye mara moja. Sasa hivi please!!
Yaani my first date with u unaniijia na rafiki zako kisa security no way.Lakini hapa sometimes kwa dada zetu ni Security na labda anataka shoga yake na yeye atoe recommendation kuhusu huyo kaka au?
Lakini hapa sometimes kwa dada zetu ni Security na labda anataka shoga yake na yeye atoe recommendation kuhusu huyo kaka au?
Depend mnakutana wapi..., from what I think kama dada hajakujua vizuri, atakuwa ameshaongea na marafki zake kuhusu wewe kwahiyo anataka kuwaonyesha alafu wengine ile fear ya kwamba wewe utataka kupeleka mambo kwa kasi ile inakuwa ni kama (TUTA KWENYE BARABARA) ili uslow down na usitake advantage... thats what I think lakini I might be wrong...Yaani my first date with u unaniijia na rafiki zako kisa security no way.
Nakutumia sababu mimi kama rafiki na unahitaji na mimi ninayo nitatuma lakini na mimi kesho nikiomba msaada wowote usininyime, sababu maisha ni kusaidiana kwenye shida, A Friend in Need is A Friend Indeed.... Lakini hapa anachosema Lizzy huyu dada kamfanya huyo kaka ndio kama ka mradi ka yeye kumalizia shida zake (sometimes hata kama hana shida..., basi tu kutumbua jasho la mwenzake)
Siku ya siku kaka akamwalika mdada chakula cha jioni ali wapate muda wa kuongea kidogo...mdada akaja na shoga yake.Yule kaka akaboreka ila akapotezea tu.
Nakutumia sababu mimi kama rafiki na unahitaji na mimi ninayo nitatuma lakini na mimi kesho nikiomba msaada wowote usininyime, sababu maisha ni kusaidiana kwenye shida, A Friend in Need is A Friend Indeed.... Lakini hapa anachosema Lizzy huyu dada kamfanya huyo kaka ndio kama ka mradi ka yeye kumalizia shida zake (sometimes hata kama hana shida..., basi tu kutumbua jasho la mwenzake)
Yaani my first date with u unaniijia na rafiki zako kisa security no way.
Hapana LD sikatai kwamba wachunaji wapo thats why nikasema inategemea mnakutana wapi..., lakini mara nyingi nadhani kwenye hizi dates nyingi mwanzo dada anakuwa muoga kwenda sehemu peke yake anataka company... kwahiyo suala la company on the first day peke yake sio baya sana kama hao dada watakuwa wastaarabu na kunywa maji na sio kubugia pombe kama vile TBL ni ya baba yangu.Hakuna hata cha security mwenzangu Voice, kama hivo amwambie basi nitakuja na rafiki yangu unasema je? Yani mtu mwenye nia ya kuanzisha urafiki wenye malengo mazuri hawezi kuja kwa mkao wa kukuchuna ndugu yangu. Waulize kina kaka wakwambie na wakifika hapo wanakunywa na kula vya gharama mpaka unajuta. Na maisha ya bongo haya mwenyewe una ka elfu 30 hapo mfukoni. Unaletewa bill elfu 60 watu wa tatu tu!! Duu bado unatakiwa uwarudishe walikotoka!!!
Nimemwelewa sana lizzy, yani hiyo mimi ndo naomba vocha kwako Voice, au hutaki kuwa ATM wangu jamani.
Nitumie ya 10,000 basi!!
Mkuu shida ikija haipigi hodi.., yaani hapa ninachosema inabidi ile imani ya kwamba Mwanaume inabidi atoe inabidi iishe, maisha ni kusaidiana kwahiyo siku nikiwa broke hakuna ubaya mwenza wangu akinitreat..., hayo ndio maisha. Yaani yeye akipata shida am the first kuambiwa na mimi nikipata hivyo hivyo na isiwe one sidedMsaidie then sahau. Usitamke KESHO NA MIMI UNISAIDIE, muache aamue kwa roho yake