Wanaume siku hizi wanaolewa.

Nisome vizuri, nasema "matatizo hayo hayapo kwenye Uislam". Ukiona hata Muislam yanampata matatizo kama hayo ujuwe hajafata Uislam. Narudia, matatizo hayo hayapo kwenye Uislam.

girl please! mie mwenyewe muislam na haya matatizo nayaona kila kukicha, hata kwa familia yangu yapo.
 
Kweli mkuu ni aibu sana mwanaume mwny akili timamu na nguvu zake kwenda kuishi kwa mwanamke.Aibuu!!!
 
girl please! mie mwenyewe muislam na haya matatizo nayaona kila kukicha, hata kwa familia yangu yapo.

Nisome vizuri;

By FaizaFoxy
Nisome vizuri, nasema "matatizo hayo hayapo kwenye Uislam". Ukiona hata Muislam yanampata matatizo kama hayo ujuwe hajafata Uislam. Narudia, matatizo hayo hayapo kwenye Uislam.
 
Nisome vizuri;

By FaizaFoxy
Nisome vizuri, nasema "matatizo hayo hayapo kwenye Uislam". Ukiona hata Muislam yanampata matatizo kama hayo ujuwe hajafata Uislam. Narudia, matatizo hayo hayapo kwenye Uislam.

hata kwenye ukiristo hayapo, sasa yapo wapi?
 
Aaah, hilo swali zuri sana, tumuulize mleta mada, hao wanaoongelewa ni wa dini gani na mafundisho yepi? kwa maana, kwa sheria ya Kiislaam, kama mpo kwenye ndoa na mke mmezaa nae basi hata akiachika na watoto hawajakuwa basi atakiwae kuondoka ni baba, aache nyumba kwa mama na wanawe.

Siongelei hawara hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…