Wanaume siku hizi wanaolewa.

kupenda urahisi wa maisha kunawapoteza vijana wengi, na wengi wanajikuta wakidhalilishwa kwa kukosa sauti ndani ya nyumba kwa kupenda kwao mtelemko wa maisha.

hapo kitonga mkuu...yaani mtaji ganda la ndizi
 
You call it,:A S-heart-2:

We call it,

They call it,

LOVE.

:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
mie nimejichekea tuu majibu ya watu humu
 
....kweli tupu...
 
Mwarabu na mzungu walifanya kazi kubwa sana kutu-brainwash..
 
Wivu tu. Waache vijana wale matunda ya Beijing 1994 kha!
 
Matatizo ya ndoa yanaongelewa hapa, soma mada, na mimi nasema matatizo hayo hayapo kwenye Uislam. Ni nini ambacho hujaelewa? au ndoa inayoongelewa hapa haina dini? hata kama haina dini, solution? Uislam.

kwani ezdee na dida walikuwa wakiristo? tena walifunga ndoa ya kidini, maana ezdee alihamia kwa dida, na akaondoka kwa bajaji maana kumbe zile gari alizokuwa anapiga nazo misele zilikuwa za dida
 
tena kuna wanaume wengine anahamia kwa demu mikono mitupu, siku kikinuka anataka mugawane mali alizochuma demu kabla ya ndoa nusu kwa nusu
 
Matatizo ya ndoa yanaongelewa hapa, soma mada, na mimi nasema matatizo hayo hayapo kwenye Uislam. Ni nini ambacho hujaelewa? au ndoa inayoongelewa hapa haina dini? hata kama haina dini, solution? Uislam.

Sio kosa lako mama ila ni hao wavaa makanzu ndo waliokuharibu hata kitu kingine unaingizia uislam na wengine watakuja na uchristo wao toka kwa wazungu.
 
kwani ezdee na dida walikuwa wakiristo? tena walifunga ndoa ya kidini, maana ezdee alihamia kwa dida, na akaondoka kwa bajaji maana kumbe zile gari alizokuwa anapiga nazo misele zilikuwa za dida

Nisome vizuri, nasema "matatizo hayo hayapo kwenye Uislam". Ukiona hata Muislam yanampata matatizo kama hayo ujuwe hajafata Uislam. Narudia, matatizo hayo hayapo kwenye Uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…