Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE kwa kupika. temeblea sehemu za starehe/biashara uone tena wa asili ya kihindi ndio balaa zaidi. Kwa kuchoma nyama weusi tunaongoza. Wanawake wamebakia kuwa wahudumu wa mezani tu mahotelini.
Sasa mimi najiuliza haya mapinduzi yana maana gani?? wanawake wajitahidi warudie number 1 yao tuliyoichukua sisi wanaume. Na hata kuhudumia kwenye mabaa wanaume wanafanya vizuri kuliko wanawake kwa vile wakikuona umeenda na mkeo/mchumba/kiburudisho wanakuchunia kukuhudumia wakati wanaume wao wanachapa kazi tu.
Na ndio maana harusi ya mwenzetu GEOFF tumechukua Dr. Pimbi kataringi autidoa kampani limitedi nwanapika sana hawa jamaa.
hehehehe!Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE kwa kupika. temeblea sehemu za starehe/biashara uone tena wa asili ya kihindi ndio balaa zaidi. Kwa kuchoma nyama weusi tunaongoza. Wanawake wamebakia kuwa wahudumu wa mezani tu mahotelini.
Sasa mimi najiuliza haya mapinduzi yana maana gani?? wanawake wajitahidi warudie number 1 yao tuliyoichukua sisi wanaume. Na hata kuhudumia kwenye mabaa wanaume wanafanya vizuri kuliko wanawake kwa vile wakikuona umeenda na mkeo/mchumba/kiburudisho wanakuchunia kukuhudumia wakati wanaume wao wanachapa kazi tu.
Na ndio maana harusi ya mwenzetu GEOFF tumechukua Dr. Pimbi kataringi autidoa kampani limitedi nwanapika sana hawa jamaa.
hehehehe!
naona umerudi kwenye kasi yako ile ile...!NA UMEONGEA JAMBO LA MSINGI!......
wanaume tunatisha kama gharika!...nenda mahoteli makubwa yoote utakuta ma-meneja ni wanaume
ingia majiko maarufu utawakuta wanaume
Hehehehe! Kijana umerudi na vita kuu.
Subiri watie timu hapa! Hapo kwenye bold umekula Senksi kule juu.
hehehehe!
naona umerudi kwenye kasi yako ile ile...!NA UMEONGEA JAMBO LA MSINGI!......
wanaume tunatisha kama gharika!...nenda mahoteli makubwa yoote utakuta ma-meneja ni wanaume
ingia majiko maarufu utawakuta wanaume
Hahahaha Nguli week end hii karibu Chawote uone mtu mzima navyo chakalika karibu sana....
sijawahi kuona wanawake wakiendesha jiko la kitimoto...........Mi mwanamke akimkaanga mdudu sikuli!
sijawahi kuona wanawake wakiendesha jiko la kitimoto...........
Eeeh bwana Nguli jana nimetoka katika mihangaiko yangu ya kusaka pesa nikapita kununua mahitaji kidogo ..nimepishana na wanaume kama watano hivi ( hawajaoa ) wamebeba vimifuko ,,nikawa nawatania hebu nichungulie kuna nini huko na nyie mnaingia sokoni wanadai haki sawa mnachofanya nyie na sisi tunaweza
eeh vimifuko vimejaa mahitaji ya kupika wanaenda kukaangaza wenyewe duh
kweli siku hizi mambo yamebadilika sana
duh!Yupo mkuu umesahau kwa Jeni pale Korogwe?
Alafu hata Blue gate pale ni jiko la mwanamke ndie anaye pika mdudu.
hahahaha!Hahaha! Kwahiyo mchango wetu tayari sio?
duh!
nimeanza kuelewa ni kwanin nilihama ile baa!....
na nimapata jibu ni kwanin huwa sinywi blue-gate
hahahaha!
unakaba kweli kweli!.....lolz
sijawahi kuona wanawake wakiendesha jiko la kitimoto...........
ukija kwenye upande wa kufua-UDOBI!....
wanaume pekee ndio wana vijiwe vya udobi!na wanafua kweli kweli
ukija kwenye dry-cleanerz,wanawake kazi yao ni kuandika oda tu!yaani tumewaingilia kweli kweli