Wanaume shtukeni jamani, mwanaume halii

mwanaume ulie kisa mbunyeeee....we tafuta pesa bana.....
 
Siku hizi wanawake wanajiweza kiuchumi........
....USHAURI>>>
''You don't have to fight to be a man''
 
Neno utafiti limepoteza maana kabisa siku hiz
 
Nikusahishe kuwa huwo sio utafiti bali ni mawazo ya kichwa chako tu, but all in all mawazo yako sio sahihi.
 
Hela kitu gan bhana ..bas kabda wengine tumebalikiwa mvuto wa ajabu....mana mi tangu nianze mpenzi na madem sijawai tongoza dem akanikatalia ....na dem wakwanza kua naye ni alinitongoza na mwingine wa juz juzi tu alinitongoza....na pia sitoi hela hata labda vocha ya jero kwa wiki au mwez au sitoi kabisa paka leo hii Nina miaka 20 ......hela sio kitu mwanaume jiamini .....af uwe na akili sana na uwezo mkubwa wa kumshawishi paka akajiona ndio mmiliki wa ulimwenhgu......thanks God kwa uwezo ulionipa
 
Umr wako na unavyotaka kujua Ni tofaut ngoja balehe ikuishe akil itakukaa sawa,
Unataka ulie kwa kumparamia house girl, subiri uingie mtaan ukutane na vinavyoshindaniwa Kama huo utumbil ujakutoka!!
 
Umr wako na unavyotaka kujua Ni tofaut ngoja balehe ikuishe akil itakukaa sawa,
Unataka ulie kwa kumparamia house girl, subiri uingie mtaan ukutane na vinavyoshindaniwa Kama huo utumbil ujakutoka!!
teh teh! yan wewe kwa povu ili inaonekana wamekuliza sana...lakin pole kaka ukitoswa unaangalia ustaarabu mwingine tu
 
wew unawasema ma playboi ndo wanafanya maigizo lkn kwenye mahusiano ya ukwl kabisa mwanaume ukipigwa chini utoe mchoz sasa, tafuta mwingine tu
Mwanaume anayetoa chozi kwasababu kaachwa na mwanamke basi ujue alikuwa ni mzee wa kitonga mpenda mteremko kila kitu anamtegemea mwanamke.........
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…