Wanaume shida ni nini?

Huyo jamaa ni legend alikuwa anatafta Exit door 😁😁😁
 
we vip. ukiulizwa mwambie bado una utepe (over) hata kama una 50 years. achana na huyo jamaa njoo kwangu mamamzungu niko chini ya 29 years najielewaa
 
Una akili sana Joline....

Ukute mtu ana msururu...dah!

Wanawake hamjui saikolojia ya wanaume wengi. Mngeijua kuna mambo mngeyakwepa hasa kwa mtu anayeonyesha kuwapenda kikweli na kufanya maisha pamoja....Kuna mambo ambayo hayana faida hata mwanaume wako akiyajua mbali na kuumiza hisia zake tu - hasa kama hana kifua!

Mojawapo ni hili 👇👇👇

 
Itakua wauni walivunja kikombe kindez, ndo mana mchiz kamaind.
 
Tumejuana juzi tu atakataje yeye huo utepe yeye mwenyewe kakiri ana rundo la wadada sasa alitakajee
Unakuta hata hilo lundo la wadada anaokwambia hajabahatika kupata hata mmoja mwenye bikra maisha haya yana mtihan had inachosha 😀😀😀
 
Ni kweli ama?
Una ushahidi?
Kiroho mtu anayeifungua ile njia takatifu ielekeayo kwenye kiini ndiye mwenye mamlaka nayo; na huyo ndiye soulimeti wa kweli. Mtoa damu!

Ingekuwa tunaoa tuliowatoa bikra hata hizi purukushani tunazoziona kwenye ndoa zisingekuwepo. Kusingekuwa na ishu za vibamia na mabwawa - na hata laana na mamikosi yanayotokana na kubeba mamizigo ya watu huko maana kusema kweli wengi tunaishia kuoa wake za watu (kiroho!)

Ndiyo maana jamaa aliyemtoa bikra demu/mke wako akimkomalia anamla tu maana tayari wamo katika maagano ya damu...maagano ya kudumu!

 
Ni kweli jamaa ni wa pili kwako?

Tuanzie hapo kwanza...

Jamaa kahisi umemfunga kamba...na pengine yuko sahihi 😁😁😁

All in all, maongezi ya aina hii hayana faida kwa mwanaume
 
Tatizo watu tunachukulia mapenzi serious sana tunakuwa na matarajio makubwa zaid kulingana na unavyomuona mtu me kuna huyo fala wangu mmoja huwa anatamba na maex zake sijali wala nin nikipewa napga siku zinasonga atajuana huko na mpenzi wake atakaekuwa nae ila kumkuta uzi ushafunguliwa hata hanogi ni unapga tu siku ziende muachane bas wakuu tujaribu hata kubet 😀😀😀
 
Sisi wanaume ututoe kwenye utopolo huo..

Dada umedate na mvulana(haijalishi umri, nazungumzia akili na tabia, huyo ni mvulana)
 
Tungefahamu miaka yenu nadhani ndio tungejua tukujibu vp.
 
Kawaida hyo huwa tukiwachoka ndio tunatafuta sabb za kuwaacha..

Your days are counted!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…