Wanaume punguzeni kulalamika

Duu mim huwa cpendi mwanaume alalamike kwa lolote lile jaman huwa nakereka basi tu
 
Uzuri nahudumia hadi kunipiga mzinga anashindwa

hapo umeshinda...... Kama umejijengea katabia ka kumpa huduma bila yeye kuomba sidhan kama utapigwa mizinga hovyo hata yeye ataona aibu...... Tatizo letu vijana asipokuomba na ww unakuwa kimya hapo lazma upigwe tu.... Hebu zoea kumpa huduma tena zisigharim hela nyingi...
 
Mmezidi omba omba utasikia baby nikuambie kitu niambie baby na shida 50000 baby cm yangu imepotea baby Mimi Leo ctaki kula nyumbani baby Mimi huwa siwaelewi Hawa dadazetu
 
Mi nachosema mwanamke namhudumia mangi ila akileta ujinga tutakosa wote...
 

christine anakula raha kumbe tumwite aje athibitishe mwenyew kama ni ya kweli haya;
 
hahaahha hata kwenye biblia imeandikwa.. nawe mwnaume utakula kwa jasho. period! hushangai unamlipa changudoa lakin raha mnayo peana yy ndy anaenjoy zaidi yako.... hyo si mizinga unatakiwa hudumia mpenz wako... hata mwanamke awe na pesa vipi mme unatakiwa uhakikishe amekula kwa pesa yako that the bottom like. nyie wa wapi nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…