Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
Nchi za Africa kusini mwa jangwa la sahara ambazo ugali ni chakula pendwa ndizo nchi masikini zaidi.Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi(sio wote) wanakula sana chips mayai, hii inapelekea wanakua wavivu ,uwezo wa kufikiri unakua mdogo, hawajitumi ,tena kitandani ndio perfomance zero kabisa .Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chipa mayai jamani.
Wanaokula Junk food ndio wanatuletea smartphones, Computers, AI etc. Sisi tunakazana kula magimbi tupate nguvu za kufanya mapenzi. Ngozi nyeusi ni kama zina laana hivi!!!??
Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi(sio wote) wanakula sana chips mayai, hii inapelekea wanakua wavivu ,uwezo wa kufikiri unakua mdogo, hawajitumi ,tena kitandani ndio perfomance zero kabisa .Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chipa mayai jamani.
Na kuongezea wachina wako strong hatariInashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi (sio wote) wanakula sana chips mayai. Hii inapelekea wanakuwa wavivu, uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo, hawajitumi, tena kitandani ndio performance zero kabisa. Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chips mayai, jamani.
Watanzania wamekazania ugali eti ndo chakula bora ndo maana akili ndogo na watoto wanakojoa kitandani kwa kula ugali usiku.Na kuongezea wachina wako strong hatari
Watanzania wamekazania ugali eti ndo chakula bora ndo maana akili ndogo na watoto wanakojoa kitandani kwa kula ugali usiku.
Kuweza kucreate kitu, kuna factors nyingi zinameet hapo.Wanaokula Junk food ndio wanatuletea smartphones, Computers, AI etc. Sisi tunakazana kula magimbi tupate nguvu za kufanya mapenzi. Ngozi nyeusi ni kama zina laana hivi!!!??
Bahati mbaya hizo factor zote hatuna. Sisi ni ngono tuKuweza kucreate kitu, kuna factors nyingi zinameet hapo.
Si chakula tuu.
Ndio maana huwezi kutupatia junk food ukatengemea tuwe kama silicon valley.
Hakuna virutubisho vya maana zaidi ya kupanua tumbo.Nchi za Africa kusini mwa jangwa la sahara ambazo ugali ni chakula pendwa ndizo nchi masikini zaidi.
Hivi kuna connection kati ya ugali na akili?
ππππHayo mahindi marekani wanalimq sana na wanalishia mifugo ,bado wana akili mara 1000 ya sisi na wao ndo wameendelea sana.
Kula ugali watoto wadumae ,ngozi zinakosa nuru zinakuwa kama kenge...ushamba wenu wakufirikia kwamba ugali ndo chakula bora bakini nao huko bara kaangalie wachina wanakula nn?