Wanaume povu ruksa

Angalizo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi naamini hakuna pesa ya rahisi kama mwenye uzi anavyofikiri eti ukae hapo miguu juu usambaze ujumbe wako pesa zimiminike! Lazima ukaisumbukie.
Angalizo: mimi si mdangaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vile washkaj wana umoja siku wakikustukia mmoja ana omba papuch then wana wanakuja kupiga mtungo mbona utashaa...
 
Nasis mabaharia wa ukwel yaan sentens ya kwanza tuu tunajua kua huyu anataka kuomba hela,,utashangaa msg haijibiw
 
point yako ni nini?

tafuta na wewe sasa wanaume
 
Hizo msg Ni zile za madem wa fb akikutumia request ukiaccept tu..kijachofuata msg ya kuomba luku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…