Wanaume pesa tutafute

kuna mwanamke ana hela sana ila hana mwanaume akija kusoma huu ujumbe wa pesa ndo kila kitu anakustaajabu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee kila mtu ana changamoto binafsi, ikiwa wengine ni hela wengine ni waume wengine ni watoto acha tu japo pesa ndio inashika hatamu katika vyote kama changamoto kuu.
 
Mtafute Mungu sana na mengine mtaongezewa
 
Wewe usitafte hela kila dem mzuri mjini atakuwa shemeji magari mazuri yote yatakuwa ya masela
 
Weeeeh waulize walokole..we unaona maisha wanayoishi!! yaan ayo mengine sijui watazidishiwa lini mana watenda dhambi ndo wameshikilia uchumi sasa usinambie ntazidishiwa tuu wakati nawaona walokole mtaani wanavyohangaika...kuna pastor mmoja anakujaga home na ana kanisa lake ingawa bado changa uwa akija lazma tumpe either unga tunamchotea au chochote mana hali yake ni mbaya..sasa unabaki unajiuliza ili ni jaribu kwakeee au ndo anasubiri muujiza?.
Mtafute Mungu sana na mengine mtaongezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…