Juzi wakati niko sehemu na washikaji tunapiga stori za maisha na bongo yetu iliyolaaniwa kwa ufisadi. Ghafla akapita dada ambaye amebarikiwa 'usafiri'. Macho ya Watu wote tulokuwa pale yakaelekezwa mdada. Na yeye kwa visa akaongeza jitihada ya kuyatingisha, huwezi amini ukimya ulitawala kwa karibu dk 2. Mdada alipotokomea aendako, jamaa mmoja akadai kwamba yeye mkewe hana hiyo kitu hivyo alilazimika kumtesti mmoja mwenye umbo kama lile, lakini hakuna kipya alichokiona.
Cha ajabu jamaa mwingine akadai maishani mwake hakuwahi kuonja demu mnene mweupe, alkini siku alipojaribu hakuona la maana na alijuta kumsaliti mkewe. Ila nilishangaa jamaa mmoja yeye alidai ana mpango wa kumtafuta 'albino' ili aone ananoganogaje maana hajawahi kujua utamu watu hao.
Nilichogundua ni kwamba kwa wanaume waliooa, wengi hupenda 'hutoka' nje si kwamba hawatosheki na wenza wao waliowaacha home bali ni suala zima la kutesti kile ambacho wenza/wapenzi/ wao hawana.
My Take: Wanawake kuweni makini, wengi wa wanaume hawako interested na mahusiano ya kudumu zaidi ya kujiridhisha nafsi kwa kuwa tu na mwanamke mwenye makalio makubwa, matiti makubwa, macho mekundu, lips pana na baada ya hapo hakuna jipya zaidi ya kuacha kilio kwa mdada kwa kuwa wengi huwa tayari wanao wake zao wenye sifa tofauti na hizi za matamanio!
I beg to submit
WanaJF,
Mimi ushauri wangu ni kwamba hakuna nyumba ndogo mtamu kuliko mkeo. Watu tulijaribu kabla ya ndoa na baada ya ndoa tena kwa kuangalia makabila (yale yanayosifika kwa kukata viuno), maumbile (wembamba kwa wanene; warefu kwa wafupi), rangi (weupe, maji ya kunde na weusi), na hata umri (mwenye umri mkubwa kwangu, rika yangu na wale niliowabikiri mimi) LAKINI mwisho wa siku nimekuja kuamini kwamba MKE WANGU NI MTAMU NA ANAJUA MAPENZI kuliko wanawake wote hapa Duniani. Sasa nimetulizana na mke wangu na mtoto wetu mpenzi na ngoma tulishapima tuko salama, hata sina hamu tena ya kutoka nje ya ndoa. Hivyo, nawashauri muwapende wake zenu, kwani ni watamu kuliko wanawake wengine.
Ndyoko, kwenye kutest utamu kondom hazitumikagi. Wambie jamaa zako watapeleka gono nyumbani. Bora wawakopi hao wanawake wanaowatamani, halafu wakawapesti bafuni wakati wa kuoga itawanusuru
WanaJF,
Mimi ushauri wangu ni kwamba hakuna nyumba ndogo mtamu kuliko mkeo. Watu tulijaribu kabla ya ndoa na baada ya ndoa tena kwa kuangalia makabila (yale yanayosifika kwa kukata viuno), maumbile (wembamba kwa wanene; warefu kwa wafupi), rangi (weupe, maji ya kunde na weusi), na hata umri (mwenye umri mkubwa kwangu, rika yangu na wale niliowabikiri mimi) LAKINI mwisho wa siku nimekuja kuamini kwamba MKE WANGU NI MTAMU NA ANAJUA MAPENZI kuliko wanawake wote hapa Duniani. Sasa nimetulizana na mke wangu na mtoto wetu mpenzi na ngoma tulishapima tuko salama, hata sina hamu tena ya kutoka nje ya ndoa. Hivyo, nawashauri muwapende wake zenu, kwani ni watamu kuliko wanawake wengine.
ntafikisha ujumbe kaka. shemeji mzima lakini?