Yah ni kweli pengine kuna kitu kina mseduce wa ndani Hana
Kwenye mawenzi timiza wajibu wako kwa mwenzio kisha zidai haki zako za kimapenzi kwa stahan na kiasi, mengine yapotezee, utakufa siku si zako au utabadilisha wapenzi kila siku sababu hutampata aliyeumbwa kwa kadri matakwa yakoKwa hii sentensi nimeamini ni vigumu sana kumridhisha mwanaume
Ipo tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani au unatatizwa na maana ya kitendo cha kutongoza? Alitamani wengi kabla ya KUKUPENDA wewe pia. Na si rahisi sana kujizuia kutamani.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Wewe kweli ni kiazi..! Tangu uzaliwe hujawahi ona mwanaume ana wake wawili?? Vipi uliwahi kumwona mwanamke ameolewa na wanaume wawili kwa mpigo..!Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Wewe ni Adam au Hawa??Ndivyo yulivyo .......
Nikweli na mapenzi yapo kwa 100%Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Ndio tena mapenzi mazitoMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?