Mwenye kosa ni wewe, kwanini umeingilia privacy ya mtu, ujue akijua na akaamua kukushtaki atakufunga.Mwanamke anakuheshimu,anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart,kwa bahati mbaya kasahau kulock kawaida yake maana kakurupushwa na kaondoka na sim ndogo kaacha smart
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika
Nikaenda messenger ya fb nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake,wengine akiwatongoza,wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndo text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating
Nikagundua friendlist Kati ya 4552 alionao fb wanaume ni 20 tu hivo hivo kwenye Instagram ,amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani ,wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my ,
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi Botswana kulingana na chating zao
Nikataka niende WhatsApp,mikono ikatetemeka nikaacha
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni,ukimuuliza mbona bize sana,anakujibu biashara mara betting kumbe michepuko
Sina hamu
Duh, hadi leo una maumivu ya yule kijana muhuni aliyekutoa Mwanza kisha kukuachia 7,900/- Msamehe bure dada yangu.Mwanamke anakuheshimu,anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart,kwa bahati mbaya kasahau kulock kawaida yake maana kakurupushwa na kaondoka na sim ndogo kaacha smart
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika
Nikaenda messenger ya fb nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake,wengine akiwatongoza,wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndo text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating
Nikagundua friendlist Kati ya 4552 alionao fb wanaume ni 20 tu hivo hivo kwenye Instagram ,amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani ,wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my ,
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi Botswana kulingana na chating zao
Nikataka niende WhatsApp,mikono ikatetemeka nikaacha
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni,ukimuuliza mbona bize sana,anakujibu biashara mara betting kumbe michepuko
Sina hamu
Si ajabu na wewe alikupata kupitia social media! Dirisha lile lile uliloingilia nadilo hilo hilo wengine wanapitia!Mwanamke anakuheshimu,anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart,kwa bahati mbaya kasahau kulock kawaida yake maana kakurupushwa na kaondoka na sim ndogo kaacha smart
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika
Nikaenda messenger ya fb nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake,wengine akiwatongoza,wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndo text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating
Nikagundua friendlist Kati ya 4552 alionao fb wanaume ni 20 tu hivo hivo kwenye Instagram ,amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani ,wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my ,
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi Botswana kulingana na chating zao
Nikataka niende WhatsApp,mikono ikatetemeka nikaacha
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni,ukimuuliza mbona bize sana,anakujibu biashara mara betting kumbe michepuko
Sina hamu
SawaMwenye kosa ni wewe, kwanini umeingilia privacy ya mtu, ujue akijua na akaamua kukushtaki atakufunga.
Kuolewa na huyo jamaa haimaanishi una uhuru wa kuingilia privacy yake.
Ushauri wangu: Muombe msamaha huyo mshikaji, na Mungu wako kwa hilo kosa, na usirudie tena.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
hata girles ameliwa na jamaaDuh, hadi leo una maumivu ya yule kijana muhuni aliyekutoa Mwanza kisha kukuachia 7,999/- Msamehe bure dada yangu.
Huyo hawezi kabisa kubadilika kwani mimi mwenyewe nilimshuhudia akiwaimba namba za simu wale wanawake masanamu wanaotumika kuonyesha nguo zinazouzwa.