Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,176
Mie sijasema yeyote ni dhaifu, mie naona watu wana-excersize haki zao za kudinyana tu.
Kama mtu anacheat ama nyumba ndogo ni sambi sake mwenyewe.
Kama mtu anacheat ama nyumba ndogo ni sambi sake mwenyewe.
Soma hiyo post yangu ya juu hapo...kwa mantiki hiyo "wanawake ndio dhaifu, maana tungelikuwa dhaifu basi mngelisema kwa udhaifu wetu twalibakwa"